Amanito
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 259
- 553
Stoicism haina uhusiano wowote na mtu kuwa "EMOTIONLESS"
Emotionless ni hali ya kutokuwa na hisia yoyote.. Jambo la kuchochea hisia likitokea wewe huna uwezo wa kuhisi au kuchochea hisia zako kutokana na jambo hilo.
STOICISM ni falsafa inayokupa uwezo wa kuwa na uwezo wa ku control hisia zako katika mazingira tofauti tofauti kulingana na maisha yako. Uwezo wa kuzitambua hisia zako na kuweza kuzimudu.
Stoicism inahamasisha mtu kuwa na EMOTIONS QUOTIENT (EQ) kubwa.
Kiufupi kuwa EMOTIONLESS haimaanishi ndo unafuata falsafa ya STOICISM.