Emotionless People: Ifahamu falsafa ya Stoicism

 
Emotions , hasira

Basically ni 5-HT , hydroxytryptamine
Shortly serotonin
 
Stoicism tunaipinga ni mawazo yake anyway Kama mawazo ya Maslow na hierarchy of the needs sio kila kitu ni sahihi

Binadamu hawezi kuzuia hisia zake hata wanaopitia mafunzo makubwa ya kuzuia hisia hurudi kule kule mwanzoni

Life is all about emotions , instincts na hicho ndicho kinatutofautisha na wanyama wengine
 
Nature needs to be controlled

All wealth people duniani they know about this thing control nature , manipulate it reach the higher dimensions of understanding it na utafika mbali

It is nature that corresponds to our reactions not us reacting to nature
 
Pia autonomic nervous system hazizalishi emotion

Zenyewe ni response ya emotion uliyo nayo

Ukiwa na hasira, hofu zitafanya Mambo Kama

1. Pupil dilation

2. Anal contractions

3. Ejaculation

4. Blood vessels vasoconstriction

5. Urinary bladder Ina relax ndo maana unaona mtu muda wa hatari anajikojolea

Fear , emotions are always stimulated by amygdala followed by hippocampus

Hii ndo maana baadhi ya watu walioharibika amygdala huwa tunaona hawa respond to danger

I miss you Vinci .
 
Emotions zinaongozwa na vitu mbali mbLi from brain esp limbic system

Mfano furaha inaongozwa na precuneus na watu wenye gray matter nyingi eneo hilo huwa tunawa observe na kuwaona watu wenye furaha zaidi kuliko wengine
 
Thanks for constructive contribution najua upande huo ndio nimekufikisha, siwezi kukupinga kabisa[emoji28]

Thanks for noticing me, Vinchii is always here[emoji110]
Pamoja mkuu nifundishe kuandika thread boss
 
Because of this, the Stoics thought the best indication of an individual's philosophy was not what a person said but how a person behaved. To live a good life, one had to understand the rules of the natural order since they thought everything was rooted in nature.

Even in stoic no one is stronger or greater than nature. In order to practice it, you should be bounded well with nature not material wealth.
 
Ukiwa Stoic mambo mengi hayakushangazi
 
mkuu ungeweka neno unavyohisi na si kujisikia
 
Ooh wow
 
Mara zote Nature huwa inatabia ya kushinda. Kwa sababu Nature ni kama (Set) na mwanadamu ni kama (Sub-set) ya nature. So always Nature atashinda tu.
 
Thanks for the nice knowledge Davinc
Safi sana Vinci endelea kushusha nondo.
 
Kwenye hayo mambo ya utabibu sijui Neuro... mara ANS,huko sina ujuzi nako. Kwahiyo sina la kusema,ila ulipowagusia kina Zeno na falsafa zao nafikiri huyu ndiyo alikuwa wa mwisho mwisho katika falsafa za kale za Magharihi,falsafa yake kama sikosei kwa Kiswahili tunaiita "Falsafa ya Ustoa(sina kumbukumbu vizuri)"

Katika hawa Wanafalsafa nina maneno ya Mwanachuoni mmoja,yenye kufaa kuandikwa kwa wino wa dhahabu,anasema hivi "Katika watu ambao huenda wangekuwa bora baada ya manabii ni Wanafalsafa( hao wamagharibi) sababu walikuwa wana maswali sahihi ila walikosa ala(silaha,nyenzo) za kuwapa majibu sahihi".(Rejew kitabu "Ibn Taymiyyah against the Greek Logicians" kwa Kiarabu husomeka "Nasihaat Ahlul Imaan fi radd 'ala Mantiq al Yunaani") kitabu bora sana.

Ndiyo maana ukiangalia mafundisho yao yamemili katika kuzembea na kuchupa mipaka,yaani yanaenda kinyume na uhalisia na akili iliyo salama inakataa mafundisho hayo.

Ni hayo tu katika hili.

Shukrani kwa wito huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…