Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa si mpenzi wa hizi tamthilia, lakini hii imenikamata ingawa inaonyeshwa usiku sana. Kumbe Wakorea ni wakali.....ITV siku za j5, alhamisi na ijumaa saa 5:30 usiku!
Jumong nayo ilikuwa kali sana.....tatizo linalonifanya nisiangalie hii series ni umeme!! ukitaka mkuu ufaidi jumamosi uangalie marudio yote kwa pamoja utafurahia sana !! hata zilizopita nazo zilikwua kali sana Fuatilia Jumong! hawa jamaani wakli ktk hizi soap zao!! ila zinaharibu watoto maana like my kid likes the actor Do-jin and Prnce Muhyool basi kazi ipo!! kuzuia asiangalie hizi!!
Yes, kwenye maadili jamaa wako makini sana, hata ukiwa na wakwe unaweza kuangalia!Kumbe tuko wengi,yaani mimi ni never miss.Tamthilia zao ni kali sana hata iliyopita si mchezo!Uzuri mwingine,unaweza kuangalia ukiwa na baba,mama,watoto,kina bibi na babu pia.Wanatunza sana maadili yao.
Ilikuwa nzuri lakini mwisho wake sio mzuri!Wakorea wapo vizuri sana kwenye movie, wapo kwenye uhasilia wa historia zao, nimejifunza kufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo uliyojiwekea. Ilawameniudhi, mwisho wa emperor of the sea mimi sikuupenda, for the first time nimeona movie ambayo ubaya umeshinda wema.
zote kali, but none other than JUMONG...so inspirational, educative( for those who give up easily,) and wow,i like the way they express their lov and royaltyJumong nayo ilikuwa kali sana.....
Huwa si mpenzi wa hizi tamthilia, lakini hii imenikamata ingawa inaonyeshwa usiku sana. Kumbe Wakorea ni wakali.....ITV siku za j5, alhamisi na ijumaa saa 5:30 usiku!