Emperor Of The Sea!!

Emperor Of The Sea!!

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,023
Reaction score
12,811
Huwa si mpenzi wa hizi tamthilia, lakini hii imenikamata ingawa inaonyeshwa usiku sana. Kumbe Wakorea ni wakali.....ITV siku za j5, alhamisi na ijumaa saa 5:30 usiku!
 
Hii tamthilia nzuri sn mkuu ht mm naikubali sn.
 
tatizo linalonifanya nisiangalie hii series ni umeme!! ukitaka mkuu ufaidi jumamosi uangalie marudio yote kwa pamoja utafurahia sana !! hata zilizopita nazo zilikwua kali sana Fuatilia Jumong! hawa jamaani wakli ktk hizi soap zao!! ila zinaharibu watoto maana like my kid likes the actor Do-jin and Prnce Muhyool basi kazi ipo!! kuzuia asiangalie hizi!!
 
Huwa si mpenzi wa hizi tamthilia, lakini hii imenikamata ingawa inaonyeshwa usiku sana. Kumbe Wakorea ni wakali.....ITV siku za j5, alhamisi na ijumaa saa 5:30 usiku!

Kumbe tuko wengi,yaani mimi ni never miss.Tamthilia zao ni kali sana hata iliyopita si mchezo!Uzuri mwingine,unaweza kuangalia ukiwa na baba,mama,watoto,kina bibi na babu pia.Wanatunza sana maadili yao.
 
Jumong nayo ilikuwa kali sana.....
 
Yes, kwenye maadili jamaa wako makini sana, hata ukiwa na wakwe unaweza kuangalia!
 
Wakorea wapo vizuri sana kwenye movie, wapo kwenye uhasilia wa historia zao, nimejifunza kufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo uliyojiwekea. Ila
wameniudhi, mwisho wa emperor of the sea mimi sikuupenda, for the first time nimeona movie ambayo ubaya umeshinda wema.
 
Wakorea wapo vizuri sana kwenye movie, wapo kwenye uhasilia wa historia zao, nimejifunza kufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo uliyojiwekea. Ilawameniudhi, mwisho wa emperor of the sea mimi sikuupenda, for the first time nimeona movie ambayo ubaya umeshinda wema.
Ilikuwa nzuri lakini mwisho wake sio mzuri!
 
Jumong nayo ilikuwa kali sana.....
zote kali, but none other than JUMONG...so inspirational, educative( for those who give up easily,) and wow,i like the way they express their lov and royalty
 
Huwa si mpenzi wa hizi tamthilia, lakini hii imenikamata ingawa inaonyeshwa usiku sana. Kumbe Wakorea ni wakali.....ITV siku za j5, alhamisi na ijumaa saa 5:30 usiku!

Kachukue IRIS uone kama hutakuwa mzembe au kufukuzwa kazi. Hiyo cha mtoto mkuu!!!!!
 
"The Slave Hunters" inakuja hivi karibuni baada ya Emperor of the Sea kuisha.
 
yeah na mimi ni mpenzi sana wa tamthili hizi za kikorea, sijawahi kujuta kuzingalia ingawa inabidi ulale machweo. nafikiri wasaniii wetu wa bongo movie wangekuwa wajifunza kitu kwenye hizi tamthilia wangebadilika maana tumechoka na mapenzi ya kinigeria ya kopi na paste. yaani wimbo uleule tofauti midundo tu. inachosha.
 
Back
Top Bottom