Employment opportunity

Employment opportunity

Usikate tamaa, ila sidhani kama kutafuta kazi online au magazetini inatosha. Weka appointment Kutana na Ma HR, drops CV fanya msako wa nguvu, ikiwezekana......HONGA...lol
Duh hii ni tabia mbaya saana na haifai. Yaani mtu huna hata aibu kuandika uchafu hapa? Wewe ulihonga? Hivi ufanisi utatoka wapi???
 
Usikate tamaa, ila sidhani kama kutafuta kazi online au magazetini inatosha. Weka appointment Kutana na Ma HR, drops CV fanya msako wa nguvu, ikiwezekana......HONGA...lol

Mh,hii hatari. hebu niambia Attinda nimunonge nani? nini?
 
Jamani nimekuja hapa jamvini nahitaji msaada wa mawazo.

nina BSc.Home Economics and HumanNutrition. nimehangaika kutafuta kazi bila mafanikio. ninajitahidi sana kutembelea website kama vile kazi999.com, naombakazi ila cjaona.

najua humu ndani kuna watu wa fani mbalimbali,any help would be appreciated.

thanks a lot.

Kina dada wengi sio wapenzi wa kusoma magazeti kama daily news na guardian. ukiwa unatafuta kazi kwa taratibu za kiofisi inabidi ujenge urafiki sana na haya magazeti mawili.

Kipindi natafuta kazi nakumbukka mwananchi la jumapili lilikuwa pia linatoka na summary za kazi zilizotolewa na magazeti yote kwa wiki husika.

Vile Vile Peleke CV yako na barua Nyingine Tume ajiri. Unaweza kupiga simu upate ufahamu wanatoa msaada gani kwa watafuta kazi. ingawa ni taasisi ya serikali usiache kujarbu. it worked for me though their response came so later

Mwisho tembelea website ya http://www.ilo.org/public/english/region/afpro/daressalaam/ niliona wana porject ya kupiga msasa watu kama wewe .Project inaitwa kazi nje nje. Inaweza kukufaa
Good luck
 
Mh,hii hatari. hebu niambia Attinda nimunonge nani? nini?

Nchi imeoza ndugu zangu hilo pia lilimkuta jamaa yangu alikuwa anatafuta kazi kasoma BCom mmoja ya HR wa Bank fulani akamwambia anahitaji laki 4 ili ampe kazi na nafasi zipo wala si za kusubiri,nikamwambia huwezi kufa kwa kutofanya kazi bank tafuta kazi sehemu nyingine,hawa ni wachache tu kuna wengi hasa viwandani ili uajiriwe unatoa hongo ya mshahara wa mwezi mmoja au kama ni mdada unatoa rushwa ya ngono CAN YOU IMAGINE?WHY ALL THIS?tunahitaji kubadilika.
 
Jamani nimekuja hapa jamvini nahitaji msaada wa mawazo.

nina BSc.Home Economics and HumanNutrition. nimehangaika kutafuta kazi bila mafanikio. ninajitahidi sana kutembelea website kama vile kazi999.com, naombakazi ila cjaona.

najua humu ndani kuna watu wa fani mbalimbali,any help would be appreciated.

thanks a lot.

Mkuu wangu kama sijakosea Nutrition inahusiana na mambo ya lishe hivi (i mean masuala mazima ya chakula)kama ndivyo fikiria suala la kujiajiri mwenyewe kina mama wengi sana wanajaribu kutengeneza lishe za watoto wao kama ni mtaalamu wa kitu hiyo fanya utafiti kidogo halafu chukua hatua wala hutahitaji kujitangaza sana ukimuuzia mama mmja tu unga wako na ukafanikiwa hutaweza kuimudu oda utakayopata mahitaji ni makubwa na ulimwengu huu wa sasa watu wako busy mijini hata hawana muda wa kwenda machine kusaga unga wa watoto wao.
 
Duh hii ni tabia mbaya saana na haifai. Yaani mtu huna hata aibu kuandika uchafu hapa? Wewe ulihonga? Hivi ufanisi utatoka wapi???

we ustaadh ama mlokole? cha ajabu nini hapo? Mbona ndo Tanzania yetu inavyokwenda
 
Back
Top Bottom