Anfaal
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 1,154
- 116
Duh hii ni tabia mbaya saana na haifai. Yaani mtu huna hata aibu kuandika uchafu hapa? Wewe ulihonga? Hivi ufanisi utatoka wapi???Usikate tamaa, ila sidhani kama kutafuta kazi online au magazetini inatosha. Weka appointment Kutana na Ma HR, drops CV fanya msako wa nguvu, ikiwezekana......HONGA...lol