wanakwambia mfamaji hushika hata povu linaloelea akijaribu kujiokoa[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mko desperate kiasi hili?hivi, hakuna mkenya mwenye matatizo kama hayo?je, ingekuwa ni mkenya,huyo Charity Ngilu angepost huu ujinga? Majirani,acheni kutapata,na kuwaaminisha wakenya kwamba TZ kuna shida kiasi hicho.ukweli viongozi wenu wanao kuhusu TZ,ndio maana wako desperate!
Hao ni Wakenya, wangekuwa watz mngewarudisha kwao, lakini hamuwezi kwa sababu ni Wakenya hao.Omba omba wenu wamejaa Failed state
https://www.facebook.com/
Ni kama mende hawaishi ukurudisha kumi wanaingia hamsini, wanakimbilia nchi halisi ya Asali na Maziwa.Hao ni wakenya,wangekuwa watz mngewarudisha kwao..lakini hamuwezi kwa sababu ni wakenya hao
Unazidi dhihirisha namna nchi yako ilivyo failed state, imeshindwa kushughulika na jambo dogo hivyo, itaweza nini!Ni kama mende hawaishi ukurudisha kumi wanaingia hamsini, wanakimbilia Nchi halisi ya Asali na Maziwa.
That shit is not even funny bih. Human trafficking is not a joke of any kind. No capOmba omba wenu wamejaa Failed state
https://www.facebook.com/
Funny you call your own vulnerable and marginalized citizens "scum". Quite telling on your mentality and ethos as a society. No wonder Kenya and Kenyans always rank high in the world in generosity.All scum of Africa love Kenya because its a place of corruption and weak laws..There are Nigerian conmen, Beggers from Tz, Whores from Ug,Rwanda & Ethiopia, Somali terrorists, Southsudan rebels. How does Kenya immigration work? Failed state
If you notice, one of them calling himself Mkikuyu Akili Timamu just called the most vulnerable citizens of his country "scum of the earth". Do you really expect them to respect moral values or generosity?That shit is not even funny bih. Human trafficking is not a joke of any kind. No cap
They are scum. Who illegally enters & stays in another country without papers? Lazy people..there is enough land for free in Tz to make a living fromFunny you call your own vulnerable and marginalized citizens "scum". Quite telling on your mentality and ethos as a society. No wonder Kenya and Kenyans always rank high in the world in generosity.
Ondoeni ujinga. Kenyans crooks ndiyo wanakuja kuwachukua omba omba wa Mombasa na kuwasambaza miji mbali mbali ya Kenya, wakikamatwa wanasema they are from Tz ili waonewe huruma, wakifukuzwa wanaenda Malindi kurejea na wengine zaidi kufidia hasara ya bosiOmba omba kutoka Tz wametapakaa kwenye miji karibia yote nchini Kenya, ila serikali, viongozi na rais wao pia wamechagua kufikia vichwa vyao mchangani. Mwisho wa siku kero hiyo itabaki pale pale na uraia wa omba omba hao hautabadilika kwa kujitia hamnazo. Maanake kila mara omba omba hao wakifurushwa huwa wanarudi baada ya muda, tena wakiwa wameandamana na wengine wapya.
Wakenya nao kwa upendo wao wa kuwasaidia wenzao huwa wanazidi kuwaboreshea mazingira ya kuomba omba na kuwavutia wengine wengi. Kero hiyo kwenye mitaa ya miji ya Kenya ni sifa mbaya na aibu kubwa sana kwa majirani.
Hata wakirudishwa huja upya tena na wengine wengi yaani tu, halaafu kitu ambacho huwa sielewi mbona iwe nchi yenu tu ndio inasambaza ombaomba, mbona mataifa yaliyo kwenye vita kama vile Somalia na Sudan Kusini hawajazi omba omba kwenye nchi za watu, ni nyie tu Afrika yote, tatizo lenu kubwa mna uzembe uliokubuhu.
Omba omba kutoka Tz wametapakaa kwenye miji karibia yote nchini Kenya, ila serikali, viongozi na rais wao pia wamechagua kufikia vichwa vyao mchangani. Mwisho wa siku kero hiyo itabaki pale pale na uraia wa omba omba hao hautabadilika kwa kujitia hamnazo. Maanake kila mara omba omba hao wakifurushwa huwa wanarudi baada ya muda, tena wakiwa wameandamana na wengine wapya.
Wakenya nao kwa upendo wao wa kuwasaidia wenzao huwa wanazidi kuwaboreshea mazingira ya kuomba omba na kuwavutia wengine wengi. Kero hiyo kwenye mitaa ya miji ya Kenya ni sifa mbaya na aibu kubwa sana kwa majirani.
Mkuu, hebu pata kidokezo tu, usifuate maneno ya kuambiwa.Sawa lakini hiyo bold underline sio kweli
Kenyans ranked among world's most generous - reportKenyans have been ranked amongst the 10 most generous nations in the world, according to a new report.
The UK-based Charities Aid Foundation said that Kenya ranked eighth (among 146 countries) in terms of its three key criteria – helping a stranger, donating money and volunteering for good causes.
It is the only African country in the top ten.
The report said that 72 percent of Kenyans were prepared to help a stranger, 46 percent donated money and 45 percent gave up their own time to volunteer.