Empower your beggars, our streets are full, Kenyans tell Magufuli

Empower your beggars, our streets are full, Kenyans tell Magufuli

Mbona mko desperate kiasi hili?hivi, hakuna mkenya mwenye matatizo kama hayo?je, ingekuwa ni mkenya,huyo Charity Ngilu angepost huu ujinga? Majirani,acheni kutapata,na kuwaaminisha wakenya kwamba TZ kuna shida kiasi hicho.ukweli viongozi wenu wanao kuhusu TZ,ndio maana wako desperate!
wanakwambia mfamaji hushika hata povu linaloelea akijaribu kujiokoa[emoji23][emoji23][emoji23]

tuwasamehe tu jaman wana hali mbaya sana,tumewafanya vibaya kuanzia maendele,corona mpaka uwezo wa kufikiri.
 
Hao ni wakenya,wangekuwa watz mngewarudisha kwao..lakini hamuwezi kwa sababu ni wakenya hao
Ni kama mende hawaishi ukurudisha kumi wanaingia hamsini, wanakimbilia nchi halisi ya Asali na Maziwa.
 
Ni kama mende hawaishi ukurudisha kumi wanaingia hamsini, wanakimbilia Nchi halisi ya Asali na Maziwa.
Unazidi dhihirisha namna nchi yako ilivyo failed state, imeshindwa kushughulika na jambo dogo hivyo, itaweza nini!

Failed state indeed
 
All scum of Africa love Kenya because its a place of corruption and weak laws..There are Nigerian conmen, Beggers from Tz, Whores from Ug,Rwanda & Ethiopia, Somali terrorists, Southsudan rebels. How does Kenya immigration work? Failed state
Funny you call your own vulnerable and marginalized citizens "scum". Quite telling on your mentality and ethos as a society. No wonder Kenya and Kenyans always rank high in the world in generosity.
 
That shit is not even funny bih. Human trafficking is not a joke of any kind. No cap
If you notice, one of them calling himself Mkikuyu Akili Timamu just called the most vulnerable citizens of his country "scum of the earth". Do you really expect them to respect moral values or generosity?

Our generosity is what is driving these people to Kenya. In AfDB Kenya upped its contribution, recently eala was facing a financial crisis and Kenya and Rwanda stepped in to make sure this regional body continues with its functions by making more contributions.

The rest especially Tanzania and Burundi are lazy, non contributing, blind nationalists who can not see beyond their noses.

Right now in Kenya there are Tanzanians living in the nairobi slums who receive weekly food aid and stipend from contributions made by Kenyans and Kenyan businesses in the covid19 fund. Kenyans have now donated over kshs 2 Billion worth of money, soap,bleach, masks and gloves to be given to vulnerable members of the society including Tanzanians who are in Kenya and the volunteers who are working tirelessly to keep people safe in these areas.
 
Hata sisi Wakenya ni omba omba mbona mi nipo Tz huku naomba chapaa watu. Hivi ni nini mbaya kusema majirani zetu
 
Funny you call your own vulnerable and marginalized citizens "scum". Quite telling on your mentality and ethos as a society. No wonder Kenya and Kenyans always rank high in the world in generosity.
They are scum. Who illegally enters & stays in another country without papers? Lazy people..there is enough land for free in Tz to make a living from
 
Omba omba kutoka Tz wametapakaa kwenye miji karibia yote nchini Kenya, ila serikali, viongozi na rais wao pia wamechagua kufikia vichwa vyao mchangani. Mwisho wa siku kero hiyo itabaki pale pale na uraia wa omba omba hao hautabadilika kwa kujitia hamnazo. Maanake kila mara omba omba hao wakifurushwa huwa wanarudi baada ya muda, tena wakiwa wameandamana na wengine wapya.

Wakenya nao kwa upendo wao wa kuwasaidia wenzao huwa wanazidi kuwaboreshea mazingira ya kuomba omba na kuwavutia wengine wengi. Kero hiyo kwenye mitaa ya miji ya Kenya ni sifa mbaya na aibu kubwa sana kwa majirani.
Ondoeni ujinga. Kenyans crooks ndiyo wanakuja kuwachukua omba omba wa Mombasa na kuwasambaza miji mbali mbali ya Kenya, wakikamatwa wanasema they are from Tz ili waonewe huruma, wakifukuzwa wanaenda Malindi kurejea na wengine zaidi kufidia hasara ya bosi
 
Hata wakirudishwa huja upya tena na wengine wengi yaani tu, halaafu kitu ambacho huwa sielewi mbona iwe nchi yenu tu ndio inasambaza ombaomba, mbona mataifa yaliyo kwenye vita kama vile Somalia na Sudan Kusini hawajazi omba omba kwenye nchi za watu, ni nyie tu Afrika yote, tatizo lenu kubwa mna uzembe uliokubuhu.

Sababu hao mataifa wenyewe hawako na fare...
 
Omba omba kutoka Tz wametapakaa kwenye miji karibia yote nchini Kenya, ila serikali, viongozi na rais wao pia wamechagua kufikia vichwa vyao mchangani. Mwisho wa siku kero hiyo itabaki pale pale na uraia wa omba omba hao hautabadilika kwa kujitia hamnazo. Maanake kila mara omba omba hao wakifurushwa huwa wanarudi baada ya muda, tena wakiwa wameandamana na wengine wapya.

Wakenya nao kwa upendo wao wa kuwasaidia wenzao huwa wanazidi kuwaboreshea mazingira ya kuomba omba na kuwavutia wengine wengi. Kero hiyo kwenye mitaa ya miji ya Kenya ni sifa mbaya na aibu kubwa sana kwa majirani.

Sawa lakini hiyo bold underline sio kweli
 
Sawa lakini hiyo bold underline sio kweli
Mkuu, hebu pata kidokezo tu, usifuate maneno ya kuambiwa.
>>>
Kenyans have been ranked amongst the 10 most generous nations in the world, according to a new report.
The UK-based Charities Aid Foundation said that Kenya ranked eighth (among 146 countries) in terms of its three key criteria – helping a stranger, donating money and volunteering for good causes.
It is the only African country in the top ten.
The report said that 72 percent of Kenyans were prepared to help a stranger, 46 percent donated money and 45 percent gave up their own time to volunteer.
Kenyans ranked among world's most generous - report
 
Back
Top Bottom