mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
wanakwambia mfamaji hushika hata povu linaloelea akijaribu kujiokoa[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mko desperate kiasi hili?hivi, hakuna mkenya mwenye matatizo kama hayo?je, ingekuwa ni mkenya,huyo Charity Ngilu angepost huu ujinga? Majirani,acheni kutapata,na kuwaaminisha wakenya kwamba TZ kuna shida kiasi hicho.ukweli viongozi wenu wanao kuhusu TZ,ndio maana wako desperate!
tuwasamehe tu jaman wana hali mbaya sana,tumewafanya vibaya kuanzia maendele,corona mpaka uwezo wa kufikiri.