Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mkuu kama Feza ndo kesi study yako sio picha halisi ya Ems, ada ya Feza wazazi wanao iweza ni 0.001%, Ems ni nzuri sio kwa ufaulu tu hata kwa mambo mengine, kama ni kufauli siku hizi hata hizi shule St LIKUD wanafaulu wote kuenda form one, sasa kutana nae Darasani ndo utajua au hujui.Wadau hamjamboni nyote?
Tutafute hela
English medium ni shule bora kabisa
Huwezi linganisha na kayumbee
Kwaherini
Lete ushahidi MkuuKuna shule za serikali zina one tu. Kuna kashule ka serikali kako upareni wana one 87 na two 3. Sijui utasemaje.
Ada ya Feza day ni 7.5m boarding ni 15m imagine mtjmishi wa kawaida serikalini anae pokea sh 2m kama mshahara hawezi kumpeleka mtoto huko mfanya biashara mwenye mtaji chini ya 50m pia hawezi kosomesha uko, ni wakina Mwingulu Nchembe ndo wanao weza hiyo pesa.Ada milioni 30 kwa mwaka anamaliza anapata mshahara wa Serikali wa 1M kwa mwezi sawa na 12M kwa mwaka.
Hizi akili zako ni sawa na akili za wajinga wengine wengi sana. Hauko peke yako.Ada milioni 30 kwa mwaka anamaliza anapata mshahara wa Serikali wa 1M kwa mwezi sawa na 12M kwa mwaka.
Inaitwaje?Kuna shule za serikali zina one tu. Kuna kashule ka serikali kako upareni wana one 87 na two 3. Sijui utasemaje.
Tabia chafu zote zipo shule za uswahilini.Wadau hamjamboni nyote?
Tutafute hela
English medium ni shule bora kabisa
Huwezi linganisha na kayumbee
Kwaherini
Sasa mkuu uhalisia ni upi?Kufaulu kwa div 1 bado haina uhalisia na akili ya mwanafunzi hizo shule nyingi zipo kibiashara kuna shule miaka ya nyuma zilifungiwa kwa kugundulika kuwapa majibu ya mtihani wanafunzi..
Wewe ukiona kumpa mwanao masomo ya ziada ni utapeli wakwako mpeleken ST LIKUD ila afanye saving ya pesa yako.Fedha sio EMs.
EMs ni hizi shule za kitapeli zenye michango ya hovyo, mara la nne hawafungi shule kwahiyo mzazi unatakiwa ulipe ada nyingine ya mwezi mmoja, mara sijui nini
Mitihani hii ya Kibongo sikubaliani nayo kabisa, hebu chukua watoto hao wape mtihani wa maisha mtaani, ndio utajua hujuiWadau hamjamboni nyote?
Tutafute hela na muache wivuu
English medium ni shule bora kabisa na huwezi linganisha na hizo st kayumbee
Kwaherini
Mkuu mitihani gani ya maisha vocational work au?Mitihani hii ya Kibongo sikubaliani nayo kabisa, hebu chukua watoto hao wape mtihani wa maisha mtaani, ndio utajua hujui
SIkiliza akili haitokani na kumpa mtoto masomo ya ziad, Akili kila mtu anazaliwa nazo mkuu mnadangaywa sana mnoWewe ukiona kumpa mwanao masomo ya ziada ni utapeli wakwako mpeleken ST LIKUD ila afanye saving ya pesa yako.
Huyo mwenye 1 ukiwamwambia sasa ishia hapo ingia mtaani itumie hio 1 kusolve matatizo mtaani na kupataboesa ataweza?Mkuu mitihani gani ya maisha vocational work au?
Ndio ninacho sema ni itatuchukua muda sana kuja kugundua kwamba mitihani ya Taifa ni Scam kubwa sana na Fabrication za kutisha kutengeneza biashara.Fedha sio EMs.
EMs ni hizi shule za kitapeli zenye michango ya hovyo, mara la nne hawafungi shule kwahiyo mzazi unatakiwa ulipe ada nyingine ya mwezi mmoja, mara sijui nini
Nje ya mada: Hizi one flat za miaka nenda rudi mbona hazina gunduzi?