EMs ni shule bora wazazi tutafute hela! hebu cheki feza boys watoto 62 wa kiume wote wana wani

EMs ni shule bora wazazi tutafute hela! hebu cheki feza boys watoto 62 wa kiume wote wana wani

Wadau hamjamboni nyote?

Tutafute hela

English medium ni shule bora kabisa
Huwezi linganisha na kayumbee
Kwaherini
Mkuu kama Feza ndo kesi study yako sio picha halisi ya Ems, ada ya Feza wazazi wanao iweza ni 0.001%, Ems ni nzuri sio kwa ufaulu tu hata kwa mambo mengine, kama ni kufauli siku hizi hata hizi shule St LIKUD wanafaulu wote kuenda form one, sasa kutana nae Darasani ndo utajua au hujui.
 
Ada milioni 30 kwa mwaka anamaliza anapata mshahara wa Serikali wa 1M kwa mwezi sawa na 12M kwa mwaka.
Ada ya Feza day ni 7.5m boarding ni 15m imagine mtjmishi wa kawaida serikalini anae pokea sh 2m kama mshahara hawezi kumpeleka mtoto huko mfanya biashara mwenye mtaji chini ya 50m pia hawezi kosomesha uko, ni wakina Mwingulu Nchembe ndo wanao weza hiyo pesa.
 
Mwanao akipata one tu tayari umemaliza kila kitu?
Mtafute engineer Mmoja humu aliitwa CCNPP nimesahau jina lake ana one ya 7 na one ya 3 lakini alizidiwa kila kitu kasoro ujinga na Humble african🤣🤣 Portfolio Portfolio
 
Kufaulu kwa div 1 bado haina uhalisia na akili ya mwanafunzi hizo shule nyingi zipo kibiashara kuna shule miaka ya nyuma zilifungiwa kwa kugundulika kuwapa majibu ya mtihani wanafunzi..
 
Fedha sio EMs.
EMs ni hizi shule za kitapeli zenye michango ya hovyo, mara la nne hawafungi shule kwahiyo mzazi unatakiwa ulipe ada nyingine ya mwezi mmoja, mara sijui nini
Nje ya mada: Hizi one flat za miaka nenda rudi mbona hazina gunduzi?
 
Wewe ukiona kumpa mwanao masomo ya ziada ni utapeli wakwako mpeleken ST LIKUD ila afanye saving ya pesa yako.
SIkiliza akili haitokani na kumpa mtoto masomo ya ziad, Akili kila mtu anazaliwa nazo mkuu mnadangaywa sana mno
 
Mkuu mitihani gani ya maisha vocational work au?
Huyo mwenye 1 ukiwamwambia sasa ishia hapo ingia mtaani itumie hio 1 kusolve matatizo mtaani na kupataboesa ataweza?

Itachukua muda sana kujua kugundua kwamba mitihani hii ya Taifa ni big scam, nchi nyingi zisha shutuka zimeondoa zimechia swala la mitihani shule husika itunge kwa standard ilio wekwa na mamlaka.

Hizi one zina kuwa Fabrucated mno kwa sababu maalumu.
 
Fedha sio EMs.
EMs ni hizi shule za kitapeli zenye michango ya hovyo, mara la nne hawafungi shule kwahiyo mzazi unatakiwa ulipe ada nyingine ya mwezi mmoja, mara sijui nini
Nje ya mada: Hizi one flat za miaka nenda rudi mbona hazina gunduzi?
Ndio ninacho sema ni itatuchukua muda sana kuja kugundua kwamba mitihani ya Taifa ni Scam kubwa sana na Fabrication za kutisha kutengeneza biashara.

Hizo one hutakaa uzisikie tena zilipo ishilia, hutakaa uzione zina translate mambo mtaani.

Kushindanisha wanafunzi ni model ya zamani saba nchi nyingi walisha achana na huo ujinga kitambo sana, Bongo still tunauabudu sana kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom