EMs ni shule bora wazazi tutafute hela! hebu cheki feza boys watoto 62 wa kiume wote wana wani

Acha ngonjera na mipasho ya kishambenga, nitajie anamzidi nini? Wote wana 1.7, wa feza anamzidi nini wa Kayumba.

Mambo ya umasikini sijui nini, toka lini ukawa mke wangu kujua mimi ni masikini?
 
Hahaha st. LIKUD
 
Acha ngonjera na mipasho ya kishambenga, nitajie anamzidi nini? Wote wana 1.7, wa feza anamzidi nini wa Kayumba.

Mambo ya umasikini sijui nini, toka lini ukawa mke wangu kujua mimi ni masikini?
Mzee huwezi kinielewa katika hili naomba mtu mwenye ufafanuzi zaidi akueleweshe, ni sawa sawa kusema kwama Bakheresa akifilisiwa anaweza akawa sawa sawa kimaisha na mualimu wa shule za umma au machinga wakalingana, kwanza wanalingana kwa lipi?
 
Ada milioni 30 kwa mwaka anamaliza anapata mshahara wa Serikali wa 1M kwa mwezi sawa na 12M kwa mwaka.
Mnadanganyana sana mzazi amlipie hiyo ada utakutana nae anaomba kazi sidhani kama wazazi wa hivyo wapo Nchi hii...ukiona wanalipa hizo fees wengi wana miradi mikubwa na wengi wao wanakuja kuendeleza kazi za wazazi wao..
 
Wote wana division one ila unaweza kuta hakuna hata mmoja anayeweza kuandika program ya ku print Hello world. Inasikitisha. Wazazi walikariri kuchora panzi wanafurahia watoto wao pia wachore panzi kwenye makaratasi
 
Ada milioni 30 kwa mwaka anamaliza anapata mshahara wa Serikali wa 1M kwa mwezi sawa na 12M kwa mwaka.
Hao wakimaliza fedha wanamiradi ya wazazi wao ,au wanafanyakazi nnje . sijawahi kuwaona chini huko ,labda tuambie
 
100%. Fact
 
Ungeona matokeo ya kibaha secondary usinge andika huu uzi kabisa mkuu.
One zipo 104 na hakuna 2 ,3,wala 4 . We unalipa M 30 mtoto ana one ya 10 unajisifia na wale wasio lipa wana One ya 7 zipo kibaooo tu .
Fact
 
Mzee huwezi kinielewa katika hili naomba mtu mwenye ufafanuzi zaidi akueleweshe, ni sawa sawa kusema kwama Bakheresa akifilisiwa anaweza akawa sawa sawa kimaisha na mualimu wa shule za umma au machinga wakalingana, kwanza wanalingana kwa lipi?
Kama unaetetea mwenyewe hujui kuna tofauti gani kati ya 1.7 ya kayumba na 1.7 ya feza unataka hadi mtu mwingine anieleweshe maana yake ni kwamba tofauti ya wazi na halisi haziipo, tofauti unazoziona wewe ni za kihisia tu na kufikirika.
 
Shule nyingi tu kila mwaka zinatoa one flat kuwavutia wazazi wajinga.
At the penalt hizo one hazina tija kwa taifa .
MWanafunzi hapati one kwa ajili ya taifa ni kwa ajili ya performance yake mwenyewe. Inamjengea opportunity za kusonga mbele zaidi. Huko kwenye ajira hakuna mahali wanataka 1 ya form 4, na hamna sheria hiyo nchi hii
 
Mwanao akipata one tu tayari umemaliza kila kitu?
Mtafute engineer Mmoja humu aliitwa CCNPP nimesahau jina lake ana one ya 7 na one ya 3 lakini alizidiwa kila kitu kasoro ujinga na Humble african🤣🤣 Portfolio Portfolio
Duh!....
 
Duh!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…