The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Acha ngonjera na mipasho ya kishambenga, nitajie anamzidi nini? Wote wana 1.7, wa feza anamzidi nini wa Kayumba.Huwezi kklingana na mtu alio lipa 15m kama ada nawewe ulio changia dawati la 25000, hata yule akipata div 2 wewe alie changia dawati upate 1 ya 7, hawezi kumzidi chochote na hutakuja kujilinganisha nae kimaisha mkuu imasokini usiwandanganye kwa kujifariji tu.
Mambo ya umasikini sijui nini, toka lini ukawa mke wangu kujua mimi ni masikini?