Simao Latino JF-Expert Member Joined Jan 11, 2025 Posts 477 Reaction score 608 Jan 24, 2025 #81 Chasaga said: Una uhakika lakini? Walimu wanaofundisha huko EMs n. k. Wanaishi wapi? Je, wewe unafikiri una tabia nzuri? Click to expand... Tabia nzuri unazo wewe..
Chasaga said: Una uhakika lakini? Walimu wanaofundisha huko EMs n. k. Wanaishi wapi? Je, wewe unafikiri una tabia nzuri? Click to expand... Tabia nzuri unazo wewe..
Simao Latino JF-Expert Member Joined Jan 11, 2025 Posts 477 Reaction score 608 Jan 24, 2025 #82 Chasaga said: Una uhakika lakini? Walimu wanaofundisha huko EMs n. k. Wanaishi wapi? Click to expand... Wanaishi kwako..
Chasaga said: Una uhakika lakini? Walimu wanaofundisha huko EMs n. k. Wanaishi wapi? Click to expand... Wanaishi kwako..
C Chasaga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 279 Reaction score 275 Jan 24, 2025 #83 Simao 85 Portugal said: Wanaishi kwako.. Click to expand... pole
Ramesses II JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 3,710 Reaction score 5,054 Jan 24, 2025 #84 Econometrician said: Ada milioni 30 kwa mwaka anamaliza anapata mshahara wa Serikali wa 1M kwa mwezi sawa na 12M kwa mwaka. Click to expand... Wanaosoma Feza School huwa hawaji Serikalini. Wana michongo yao siku nyingi nje ya mfumo rasmi na kwenye taasisi na Mashirika ya nje.
Econometrician said: Ada milioni 30 kwa mwaka anamaliza anapata mshahara wa Serikali wa 1M kwa mwezi sawa na 12M kwa mwaka. Click to expand... Wanaosoma Feza School huwa hawaji Serikalini. Wana michongo yao siku nyingi nje ya mfumo rasmi na kwenye taasisi na Mashirika ya nje.
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 4,486 Reaction score 8,098 Jan 24, 2025 #85 Uzalendo wa Kitanzania said: Wadau hamjamboni nyote? Tutafute hela na muache wivuu English medium ni shule bora kabisa na huwezi linganisha na hizo st kayumbee Kwaherini Click to expand... wakishapata hizo wani na baadaye wanapokuja kazini, impact yao ni ipi kwenye taifa. kama sio hayo mafisadi serikalini
Uzalendo wa Kitanzania said: Wadau hamjamboni nyote? Tutafute hela na muache wivuu English medium ni shule bora kabisa na huwezi linganisha na hizo st kayumbee Kwaherini Click to expand... wakishapata hizo wani na baadaye wanapokuja kazini, impact yao ni ipi kwenye taifa. kama sio hayo mafisadi serikalini