Simao Latino
JF-Expert Member
- Jan 11, 2025
- 477
- 608
Tabia nzuri unazo wewe..Una uhakika lakini? Walimu wanaofundisha huko EMs n. k. Wanaishi wapi? Je, wewe unafikiri una tabia nzuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabia nzuri unazo wewe..Una uhakika lakini? Walimu wanaofundisha huko EMs n. k. Wanaishi wapi? Je, wewe unafikiri una tabia nzuri?
Wanaishi kwako..Una uhakika lakini? Walimu wanaofundisha huko EMs n. k. Wanaishi wapi?
poleWanaishi kwako..
Wanaosoma Feza School huwa hawaji Serikalini. Wana michongo yao siku nyingi nje ya mfumo rasmi na kwenye taasisi na Mashirika ya nje.Ada milioni 30 kwa mwaka anamaliza anapata mshahara wa Serikali wa 1M kwa mwezi sawa na 12M kwa mwaka.
wakishapata hizo wani na baadaye wanapokuja kazini, impact yao ni ipi kwenye taifa. kama sio hayo mafisadi serikaliniWadau hamjamboni nyote?
Tutafute hela na muache wivuu
English medium ni shule bora kabisa na huwezi linganisha na hizo st kayumbee
Kwaherini