Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,181
- 1,594
Ipo sana niliiona Kwa anko ilikuwa inamkaba kabisa na kupoteza fahamu ishu ilikuwa kaka yake alifariki na yeye akawa msimamizi wa mirathi sasa zile Hela zilipotoka wale madogo waliokuwa shule awakupewa Hela hadi wakimaliza coz walikuwa wanasomea shuleni kwake . Akawa anazitumia zile Hela balaa ndo lilianzia hapo ila waliweka mambo sawa kila mtu akafunguliwa ankauti yake na kuwekewa mtonyo mambo Yale yakawa yameisha hadi Leo.