''Enchweke'': Sauti za waliokufa, inatokeaje mtu anaongea kwa niaba ya mfu?

Ipo sana niliiona Kwa anko ilikuwa inamkaba kabisa na kupoteza fahamu ishu ilikuwa kaka yake alifariki na yeye akawa msimamizi wa mirathi sasa zile Hela zilipotoka wale madogo waliokuwa shule awakupewa Hela hadi wakimaliza coz walikuwa wanasomea shuleni kwake . Akawa anazitumia zile Hela balaa ndo lilianzia hapo ila waliweka mambo sawa kila mtu akafunguliwa ankauti yake na kuwekewa mtonyo mambo Yale yakawa yameisha hadi Leo.
 
Nyie
Nyie mnatokea kwenye shida sana.
 
Hii nimeona inatokea familia ambazo ziliendekeza sana ibada za mizimu. Kama kule kagera ni ngome na mizimu na karibu kila mji una "Nyaruju" ambayo ni nyumba ya mizimu. Nimeshuhudia hiyo enchweke ikimtokea mtoto mdogo wa primary na mtoto akaanza kutoa maunabii ya hatari. Pia nimeiona Mbeya huko, mtu akifa yanaanza kusema nani kamuua na wamemuweka wapi. Dawa ni familia kujitenga na utegemezi wa mizimu na kumtafuta Mungu wa kweli. Deliverance ya ardhi inatakiwa sana. Ukifuatilia sana hizi familia zinakuwa zinaandamwa sana na roho ya umasikini na premature death.
 
Unatokea kwa Kempanju?
 
Kati ya kabila lenye uchawi mwingi lakini hawavumi wala hawajijui kuwa ni wachawi sana ni wahaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…