End Of The Wold!!

End Of The Wold!!

Oppotunity

Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
38
Reaction score
12
kwa mujibu wa tafiti za kisayansi Sehemu kubwa ya dunia imefunikwa na maji (bahari) huku sehemu ndogo iliyobaki ikiwa nchi kavu..
jua (sun), limeumba kwa mchanganyiko wa gesi mbambali zilizochanganyika na vumbi (dust particles) na kushikiwa pamoja na nguvu ya uvutano. gesi hizi zinafanya chemical reaction ambayo contents (products) zinazopatikana ni raw material ya reactants hivyo basi hii chemical reaction inakuwa automaticaly revesed. reaction inapofanyika kuna energy loss (1) heat enegry joto linalotufikia tukiwa hapa duniani (2) light energy mwanga tunaoupata 2kiwa huku duniani. joto hili linaongezeka kadri siku zinavyokwenda (ipo wazi) coz due to energy loss then jua linapungua ukubwa (diameter) na kuwa dogo zaidi hivyo joto kuongezeka zaidi na kusababisha sehemu kubwa ya barafu duniani kuyeyuka na kina cha maji baharini kuongezeka kwa kasi kubwa na hivyo basi baada ya miaka 25 ijayo dunia yote itafunikwa na maji na kuua viumbe wote isipokuwa kwa wale ambao tnatarajia kuanza maisha mapya sayari ya MAARS
 
Hahaha Umeshajiandikisha? Nilisikia mwezi uliopita watu wameanza kujiandikisha
 
heee! Sijawahi ona mwanasayansi kama wewe anayetumia nguvu za giza!
Eti tuhamie sayari mpya ya mars mbona hii ime PNC yani IMEBUMA.
ila suala la kuongezeka kwa joto hapo miamia mkuu
 
TRUST ME!! siyo nguvu za giza huo ndio ukweli halisi its not a magic or politics although itachukua kama 15 Yrs Ili Kukamilisha Mipango Ya Kuijenga Hiyo Sayari Ili Binadam Waweze Kuishi Comfotably Marekani Imeanza Kutengeneza Super Heavy Sub Marines Kwa Ajili Ya Kunusuru Maisha Ya Binadam Wakati Huo Disaster Itakapoanza Mambo Haya Yanafanyika Kwa Siri Ili Watu Wasi Anze KuPanick Na Kusababisha Amani Kuvunjika.
 
Usiseme SIKU YA MWISHO, kwani unapozungumzia siku ya mwisho unazungumzia siku ya UNYAKUO na sio MAAFA. Mbali na hapo Mungu hua harudii mapigo, mfano Maji au mafuriko alitumia kpndi cha nuhu. pia moto aliutumia kpnd cha sodoma na gomola. So jpange kama unatetea hoja ksayansi ama kiiman but uc2mie vyote ka pamoja.
 
af ndg mwambie utafit wake ni fake kwani hakuna chombo cha baharin kinachoweza kubeba watu wote duniani kwa wkat mmoja. Huyo ndg anaota au?
 
hiyo movie inaitwaje vile? end of the world? hapo akicheza ndugu yetu K. Reeves utaipenda teh! teh!
 
kwa mujibu wa tafiti za kisayansi Sehemu kubwa ya dunia imefunikwa na maji (bahari) huku sehemu ndogo iliyobaki ikiwa nchi kavu..
jua (sun), limeumba kwa mchanganyiko wa gesi mbambali zilizochanganyika na vumbi (dust particles) na kushikiwa pamoja na nguvu ya uvutano. gesi hizi zinafanya chemical reaction ambayo contents (products) zinazopatikana ni raw material ya reactants hivyo basi hii chemical reaction inakuwa automaticaly revesed. reaction inapofanyika kuna energy loss (1) heat enegry joto linalotufikia tukiwa hapa duniani (2) light energy mwanga tunaoupata 2kiwa huku duniani. joto hili linaongezeka kadri siku zinavyokwenda (ipo wazi) coz due to energy loss then jua linapungua ukubwa (diameter) na kuwa dogo zaidi hivyo joto kuongezeka zaidi na kusababisha sehemu kubwa ya barafu duniani kuyeyuka na kina cha maji baharini kuongezeka kwa kasi kubwa na hivyo basi baada ya miaka 25 ijayo dunia yote itafunikwa na maji na kuua viumbe wote isipokuwa kwa wale ambao tnatarajia kuanza maisha mapya sayari ya MAARS

Bro naomba nikusahihishe kidogo, kwanza jua halitumii Chemical reaction kama source of its energy bali linatumia nuclear reaction (chemical reactions only involve outer most electrons as nuclear involve the entire atom to its core). Pili jua linaongezeka size due to loss of mass, and internal reactions ila temperature rise on earth ni ndogo sana due to this under a very long time, kuongezeka kwa joto duniani chanzo kikuu ni Global warming na sio jua. Excess CO2 na green house gas zingine zina trap alot of heat letting none escape (kwa hiyo chanzo kikuu cha joto sio jua bali ni G.W na ndo maana inaongelewa sana dunia nzima). Tatu barafu iliyopo ni kubwa sana (the entire Antarctica continent) ambayo according to research it'll take atleast 50 to a century kuyayuka a significant amount na sio 25years unazosema. Nne barafu zote duniani zikiyayuka most coastal region zitakua covered with water yeah, ila sio dunia nzima hata kidogo. Ice zote haziwezi kufurika hata nusu ya land(japo sikumbuki ratio ila nadhan barafu ni kama 1/3 au 1/4 ya entire land mass you might wanna check that though). Fifth kuishi mars ni ndoto kwa sasa, the environment is extreme scientists wanafikiria the possibility of terraforming the place ila hiyo tech ni miaka si chin ya 1000 kuigundua.
Niongeze kua, jua limefikia nusu ya maisha yake (abt 4 bill yrs) miaka bill 5 ijayo fuel itakua exhausted na litaexpand rapidly na kumeza sayari mbili za mbele pamoja na dunia, wakati huo earth will be molten rocks hakuna kiumbe kitakachokua alive. Then jua litapoa na kugeuka white dwarf kama nyota zingine with the same mass zinavokufaga. Na huo ndo utakua mwisho wa dunia *theatrical music*
 
Mungu mmemshirikisha?nimeamini maneno yake kwenye surat bakhra alipowaambia malaika ayajuayo yeye hakuna anayeyajua,nobody knows the origin of the universe and nobody will know,inakuaje mmseme mwisho wa dunia,jaribuni kutofautisha theories na uhalisia
 
shekh jua ni nyota kama zingine, na nyota zinatumia 'fuel' zikiishiwa eventually zinakufa. Lots of stars now zinaonekana in their dying stages (red giants) kuna black holes nyingi tu zimekua detected ambazo chanzo chake ni nyota kubwa sana zikiishiwa 'mafuta' zinacompress matter to almost infinite density na kulipuka into a black hole. Hata jua itafika point litaishiwa hydrogen n helium na litazima, thanks to science muda mpaka hapo unawezekana kutafutwa (well atleast approximate) na ni about 5billion years. Kama superior being i.e. God atachukua watu wake sooner no one knows ila what's for sure ni kua after 5billion years duniani kutakua ndo mwisho
 
kwa mujibu wa tafiti za kisayansi Sehemu kubwa ya dunia imefunikwa na maji (bahari) huku sehemu ndogo iliyobaki ikiwa nchi kavu..
jua (sun), limeumba kwa mchanganyiko wa gesi mbambali zilizochanganyika na vumbi (dust particles) na kushikiwa pamoja na nguvu ya uvutano. gesi hizi zinafanya chemical reaction ambayo contents (products) zinazopatikana ni raw material ya reactants hivyo basi hii chemical reaction inakuwa automaticaly revesed. reaction inapofanyika kuna energy loss (1) heat enegry joto linalotufikia tukiwa hapa duniani (2) light energy mwanga tunaoupata 2kiwa huku duniani. joto hili linaongezeka kadri siku zinavyokwenda (ipo wazi) coz due to energy loss then jua linapungua ukubwa (diameter) na kuwa dogo zaidi hivyo joto kuongezeka zaidi na kusababisha sehemu kubwa ya barafu duniani kuyeyuka na kina cha maji baharini kuongezeka kwa kasi kubwa na hivyo basi baada ya miaka 25 ijayo dunia yote itafunikwa na maji na kuua viumbe wote isipokuwa kwa wale ambao tnatarajia kuanza maisha mapya sayari ya MAARS

Nani kakuambia Jua linapungua ukubwa?. Life time ya sun ni ~10 million. Jua lina consume H2 na kutokana na diffusion na gravity issue jua linaongezeka ukubwa hence temperature rises. Soma vitabu, angalia documentaries. Usiandike vitu kupotosha watu. Kuna documentary imeonyeshwa juzi juzi tu inaitwa Our Universe. "The Sun today is roughly halfway through the most stable part of its life. It has not changed dramatically for several billion[a] years, and will remain fairly unchanged for several billion more. However after hydrogen fusion in its core has stopped, the Sun will undergo severe changes, both internally and externally".
swali: Why does the sun will increase in size?
Because helium is larger than hydrogen. Our sun will become a red giant, burn away mercury, venus and possibly earth, then run out of gas and become a dwarf.
Soma na acha kupotosha watu
 
Bro naomba nikusahihishe kidogo, kwanza jua halitumii Chemical reaction kama source of its energy bali linatumia nuclear reaction (chemical reactions only involve outer most electrons as nuclear involve the entire atom to its core). Pili yeah jua linapungua size due to loss of mass ila temperature rise ni ndogo sana due to this under a very long time, kuongezeka kwa joto duniani chanzo kikuu ni Global warming na sio jua. Excess CO2 na green house gas zingine zina trap alot of heat letting none escape (kwa hiyo chanzo kikuu cha joto sio jua bali ni G.W na ndo maana inaongelewa sana dunia nzima). Tatu barafu iliyopo ni kubwa sana (the entire Antarctica continent) ambayo according to research it'll take atleast 50 to a century kuyayuka a significant amount na sio 25years unazosema. Nne barafu zote duniani zikiyayuka most coastal region zitakua covered with water yeah, ila sio dunia nzima hata kidogo. Ice zote haziwezi kufurika hata nusu ya land(japo sikumbuki ratio ila nadhan barafu ni kama 1/3 au 1/4 ya entire land mass you might wanna check that though). Fifth kuishi mars ni ndoto kwa sasa, the environment is extreme scientists wanafikiria the possibility of terraforming the place ila hiyo tech ni miaka si chin ya 1000 kuigundua.
Niongeze kua, jua limefikia nusu ya maisha yake (abt 4 bill yrs) miaka bill 5 ijayo fuel itakua exhausted na litaexpand rapidly na kumeza sayari mbili za mbele pamoja na dunia, wakati huo earth will be molten rocks hakuna kiumbe kitakachokua alive. Then jua litapoa na kugeuka white dwarf kama nyota zingine with the same mass zinavokufaga. Na huo ndo utakua mwisho wa dunia *theatrical music*

Nakusahihisha na wewe pia. Jua linaongezeka ukuwa. halipungui ukubwa. It actually gets bigger !!

The sun fuses hydrogen into helium and energy is created as a by product.

As the sun uses up its hydrogen, the reaction rate speeds up slightly. The sun's energy output increases by about 10% every billion years.

That increased energy production means the suns diameter is slowly increasing.
 
i do agree, jua linaongezeka size no wonder i said after abt 5bil years lita engulf nearby planets! Najaribu kucheck niliposema otherwise(i.e sun is shrinking) sioni au naanza kuzeeka (in my 20's)
 
Ulisema hivi "yeah jua linapungua size due to loss of mass ila temperature rise ni ndogo sana due to this under a very long time, kuongezeka kwa joto duniani chanzo kikuu ni Global warming na sio jua. "

Kuna contradiction, Kuna researcher walisema lina shrink but recent studies zinaonyesha linaongezeka.
 
oh, i agree with all you said mate. Nime edit post lad, infact its expanding which will lead to loss of most of its mass and cool down kama stars zingine zenye ukubwa sawa na jua (planetary Nebulla i think its called, the ejected mass baada ya jua kuexpand into a Red giant wakati linazima).
 
Ndugu ogm12000, are you an atheist? If not what's your thoughts on 'the young earth' theories. Watu wana claim earth is only 6000years old sijui kama ushaona hizi claims. Claims za Scientists that earth is billion of years old zina nullify mafundisho yote ya kidini. Where do you stand in this? Alafu also do you believe in Evolution especially Macro evolution kua under right conditions and enough time a fish will evolve to an amphibia and finally a land animal? Nna aim ya kuuliza haya maswali.
 
Last edited by a moderator:
Bro naomba nikusahihishe kidogo, kwanza jua halitumii Chemical reaction kama source of its energy bali linatumia nuclear reaction (chemical reactions only involve outer most electrons as nuclear involve the entire atom to its core). Pili jua linaongezeka size due to loss of mass, and internal reactions ila temperature rise on earth ni ndogo sana due to this under a very long time, kuongezeka kwa joto duniani chanzo kikuu ni Global warming na sio jua. Excess CO2 na green house gas zingine zina trap alot of heat letting none escape (kwa hiyo chanzo kikuu cha joto sio jua bali ni G.W na ndo maana inaongelewa sana dunia nzima). Tatu barafu iliyopo ni kubwa sana (the entire Antarctica continent) ambayo according to research it'll take atleast 50 to a century kuyayuka a significant amount na sio 25years unazosema. Nne barafu zote duniani zikiyayuka most coastal region zitakua covered with water yeah, ila sio dunia nzima hata kidogo. Ice zote haziwezi kufurika hata nusu ya land(japo sikumbuki ratio ila nadhan barafu ni kama 1/3 au 1/4 ya entire land mass you might wanna check that though). Fifth kuishi mars ni ndoto kwa sasa, the environment is extreme scientists wanafikiria the possibility of terraforming the place ila hiyo tech ni miaka si chin ya 1000 kuigundua.
Niongeze kua, jua limefikia nusu ya maisha yake (abt 4 bill yrs) miaka bill 5 ijayo fuel itakua exhausted na litaexpand rapidly na kumeza sayari mbili za mbele pamoja na dunia, wakati huo earth will be molten rocks hakuna kiumbe kitakachokua alive. Then jua litapoa na kugeuka white dwarf kama nyota zingine with the same mass zinavokufaga. Na huo ndo utakua mwisho wa dunia *theatrical music*

Haya sasa Oppotunity njoo ujisomee nondo huku! Japo kaka hapa amesahau kuwa tayari kuna project itaanza kupeleka binaadamu mars kama miaka 25 tu ijayo, watu ambao wako tayari kuacha yote ya dunia na kwenda kuishi maisha mapya mars (japo watakuwa ndani ya mavazi na majumba maalum), mpaka sasa watu zaidi ya laki mbili wameshajitolea na kujiandikisha kwa ajili ya kupelekwa huko pindi awamu ya kwanza itapowadia! Nimesoma sehem kwamba pia kutakuwa na documentary itayokuwa ikionesha moja kwa moja maisha wanayoishi kule mars! Bado sijaelewa kitu interesting kinachowafanya watu kuvutiwa kuhamia kwenye sayari ngumu namna ile! Tukomae na dunia hii bado sana hatujaitumia vya kutosha!
 
Last edited by a moderator:
Mungu mmemshirikisha?nimeamini maneno yake kwenye surat bakhra alipowaambia malaika ayajuayo yeye hakuna anayeyajua,nobody knows the origin of the universe and nobody will know,inakuaje mmseme mwisho wa dunia,jaribuni kutofautisha theories na uhalisia

Uko sahihi kabisa, tujaribu kutofautisha theories za waandishi wa vitabu vya kale vinavyoitwa misahafu na utafiti wa kisayansi wa sasa. Tumia akili yako kujua kipi ni nadharia na kipi ni halisia!
 
Haya sasa Oppotunity njoo ujisomee nondo huku! Japo kaka hapa amesahau kuwa tayari kuna project itaanza kupeleka binaadamu mars kama miaka 25 tu ijayo, watu ambao wako tayari kuacha yote ya dunia na kwenda kuishi maisha mapya mars (japo watakuwa ndani ya mavazi na majumba maalum), mpaka sasa watu zaidi ya laki mbili wameshajitolea na kujiandikisha kwa ajili ya kupelekwa huko pindi awamu ya kwanza itapowadia! Nimesoma sehem kwamba pia kutakuwa na documentary itayokuwa ikionesha moja kwa moja maisha wanayoishi kule mars! Bado sijaelewa kitu interesting kinachowafanya watu kuvutiwa kuhamia kwenye sayari ngumu namna ile! Tukomae na dunia hii bado sana hatujaitumia vya kutosha!

kuna tofauti Kati ya kupeleka man on mars and actually living there. Kwenda tu kule for like research and stuff japo ni ngumu ila naamini baada ya muda, man might be able to go and return, some challenges ni kama 1st ilighalimu abt 2Billion usd kukifikisha tu kile kirobot mars(curiosity),imagine watu kwenda na kurudi. Pili safari ilichukua almost a year pia kuna swala la gravity on mars ambayo inakaribiana na duniani so haitakua rahisi kuchomoka kama ilivokua kwenye mwezi ambapo vi blast tu vya nitrogen wameshatoka. Ila i do have faith kua mayb someday itawezekana, ila kuishi kule nope. Kama ulivyosema mimi pia nashindwa kuelewa why watu wanachukua such tough missions kama hao ma astronauts wanaoishi in the space station miezi 6, na kurisk maisha yenu in such. Ila ukipenda kitu i guess you can do anything, even put your life on the line kama jamaa wa Apollo wale
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom