End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

Hilo ni neno la MUNGU wako, kuna wengine hawamwamini mungu wako kama wewe usivyomwamini MUNGU wao!!!!! Safari hii hata Sayansi inatetesika kuwa ngoma iko karibu...teh teh!DOOOOOM NGKAPA NGKAPAAA!

Whether they belive or not,muda mfupi ujao ukweli utajulikana sijui utakua upande upi?
 
Nani kawaambia yesu atarudi! nyie mnafikiri kile kipigo alichopata toka kwa wale jamaa amekisahau? hawezi rudi amekoma na wana dunia!hahahaha mtasubiri sana!
 
Hayo yote ni maneno tu hata mwaka jana HAROLD CAMPING aliidanganya dunia,hizi ni dalili za uchungu lakini mwisho bado.Kuhusu Baba pekee kujua mwisho ni kweli siku ikifika mwisho wa dunia utafika kwa ghafla Mayans,Nostradamus ni wanadamu tu hao hawkufahamu hata dakika tano mbele nini kitakachotokea.TUWE MACHO TUSIDANGANYWE na shetani na wafuasi wake.
 
Bahati nzuri mwaka wenyewe ndo huu. Ngoja tuone.
 
Alichokieleza off - coz kama kilielezwa na huyu Bibi miaka ya 60 mwishoni basi alikuwa sahihi sana ndivyo ilivyo. Cha msingi hapa kila mtu ni kushika alichonacho asije akapoteza. Anyway thank u for your thread.
 
niliiangalia ile movie ya "a man who saw tomorrow" homu ndio nostodamous anaelezea kila kitu. Ni movie nzuri sana
 
Naomba nikumbushe kitu kimoja na ujue kuwa nasradamas alikuwa freemason, na hawa jamaa walimtumia sana huyu jmaaa kupanga mambo yao kwa kujifanya anatabiri jambo fulani na wao wakilipangia tarehe ..... msomeni huyu jamaa.
 
Today is 10th November 2012
Forty Days to the end of time - 21st December 2012. ( 40 days and counting down ......)


Did you know that In the Mayan Calendar it is predicted that the world will end on December 21, 2012?
There are a number of December 21, 2012 predictions about the end of the world. Some say that on an ancient Mayan Calendar 2012 points to the end of the world: they picked December 21, 2012 as the exact day because that's when the calendar ends.

There have been many predictions and prophecies by the Mayans, Nostradamus, the Prophets of the Old Testament, the scientists of today, that there is a new planet in our solar system. This planet, named Nibiru, is also referred to the 12th Planet, the Red Planet or Planet X.

The Bible in Revelation 8:10-12 speaks of a star called Wormwood that will fall from the sky.
Here is what it says:
Revelation 8:10-12 (New International Version)
10 The third angel sounded his trumpet, and a great star, blazing like a torch, fell from the sky on a third of the rivers and on the springs of water 11 the name of the star is Wormwood. A third of the waters turned bitter, and many people died from the waters that had become bitter.
12 The fourth angel sounded his trumpet, and a third of the sun was struck, a third of the moon, and a third of the stars, so that a third of them turned dark. A third of the day was without light, and also a third of the night.

Z



Z
 
What? Where is justice? Mafedha yote swiss account,end coming too soon. Oh me where is justice?
 
Jamani huo mwisho wa dunia ipi?
Yesu haji hiyo siku labda kitu kingine kitatokea ila sio mwisho wa dunia
 
What? Where is justice? Mafedha yote swiss account,end coming too soon. Oh me where is justice?

Yaani afadhali jamaa wangetugawia kidogo-kidogo na sisi.
Maana kama mwisho wenyewe uko karibu namma hiyo itakuwaje ????
 
afadhali kabisa kama ni kweli ngoja nikajichongee kasafina changu nielee na familia yangu mie .ila yasiwe yale ya kibwetere ati
 
Jamani huo mwisho wa dunia ipi?
Yesu haji hiyo siku labda kitu kingine kitatokea ila sio mwisho wa dunia

Wanasema kuwa mwisho huo utakuja kwa dunia kugongana na 'sayari' nyingine !!!!
Hebu angalia picha hizi hapa.....
Hii wanasema itaokea tarehe 21st December 2012, saa tano na dakika 21 asubuhi !!!! (saa za wapi ????) Sijui !!!!

attachment.php
 

Attachments

  • end of the world 01.jpg
    end of the world 01.jpg
    37.8 KB · Views: 1,502
Back
Top Bottom