Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wale wanaofuatilia mambo ya utabiri wa Nostradamus na hata wa watu wa Mayan kule South America wanasema Dunia inaweza kufika kikomo mwaka 2012 karibu na tarehe 21 Dec. Kumekuwa na documentaries nyingi kutoka History channel zikielezea matukio mbalimbali yanayoashiria ujio wa tukio hilo. Je wewe binafsi unaamini huo ndio utakuwa mwisho wa dunia au waliotafsiri maandiko ya Nostradamus na Mayan wameshindwa kung'amua ukweli? Kumbuka kuna utabiri wa matukio mbalimbali ambao ulifanywa na hawa watu ukiwa na ukweli ndani yake na hayo matukio yalitokea kweli.
Kwanini unadhani kwamba hakuna mwisho wa dunia...Hakuna mwisho wa dunia kama ule tunaoufikiria -
Maswali mazuri, Biblia inatoa majibu kwa usahihi sana jitahi kusoma kitabu cha Ufunuo sura ya 13 mpaka ya 22 inatoa majibu ya maswali yako yote.ila mwisho wetu na mwisho wa kila kiumbe. Kwani dunia ikiisha kutakuwa na nini, uumbaji mwingine au?
Imani yako inaonekana kuwa ni nzuri sana isipokuwa imejikita katika hisia zako binafsi. Kuna Mungu aliyefanya mbingu na nchi ambaye anaiongoza historia ya ulimwengu huu na yeye ndiye anayezuia machafuko yasitokee juu ya nchi. Jaribu kusoma Biblia katika kitabu cha ufunuo utapata Jibu, ukikwam ni PM tusaidiane.Ninachoamini ni kwamba wewe na mimi tutakufa lakini watu wengine na viumbe vingine wataendelea/vitaendelea kuzaliwa na hivyo ndivyo itakavyokuwa muda wote.
Kama dunia haikufika kikomo mwaka 2000 na 'Y2K', basi kwa sasa na subiri mwisho wa dunia ulioandikwa ktk vitabu vitakatifu tu.
Hakuna mwisho wa dunia kama ule tunaoufikiria - ila mwisho wetu na mwisho wa kila kiumbe. Kwani dunia ikiisha kutakuwa na nini, uumbaji mwingine au? Ninachoamini ni kwamba wewe na mimi tutakufa lakini watu wengine na viumbe vingine wataendelea/vitaendelea kuzaliwa na hivyo ndivyo itakavyokuwa muda wote.
swala ni kwamba mwaka huu kutakuwa na tukio kubwa linalohusiana na new world order
Jamani mbona neno la MUNGU liko wazi tu, mwisho wa uovu na dunia fisadi upo ila watakatifu wote waliomwamini YESU/YAHSHUA kuwa ni MWANA wa MUNGU aliyekufa akafufuka kwa ajili ya dhambi ya ulimwengu na wanadamu hao hawana mwisho bali watakuwa katika ulimwengu mpya usio na dhambi, maumivu, wala shida ya aina yeyote, ulimwengu huu/ufalme utakuwa ni mtakatifu mno kwani MFALME wake atakuwa ni YESU mwenyewe..AMINAKwa wale wanaofuatilia mambo ya utabiri wa Nostradamus na hata wa watu wa Mayan kule South America wanasema Dunia inaweza kufika kikomo mwaka 2012 karibu na tarehe 21 Dec. Kumekuwa na documentaries nyingi kutoka History channel zikielezea matukio mbalimbali yanayoashiria ujio wa tukio hilo. Je wewe binafsi unaamini huo ndio utakuwa mwisho wa dunia au waliotafsiri maandiko ya Nostradamus na Mayan wameshindwa kung'amua ukweli? Kumbuka kuna utabiri wa matukio mbalimbali ambao ulifanywa na hawa watu ukiwa na ukweli ndani yake na hayo matukio yalitokea kweli.
Jamani mbona neno la MUNGU liko wazi tu, mwisho wa uovu na dunia fisadi upo ila watakatifu wote waliomwamini YESU/YAHSHUA kuwa ni MWANA wa MUNGU aliyekufa akafufuka kwa ajili ya dhambi ya ulimwengu na wanadamu hao hawana mwisho bali watakuwa katika ulimwengu mpya usio na dhambi, maumivu, wala shida ya aina yeyote, ulimwengu huu/ufalme utakuwa ni mtakatifu mno kwani MFALME wake atakuwa ni YESU mwenyewe..AMINA
Yesu alisema "hakuna ajue siku wala saa"
Ni kweli ni MUNGU wangu wala hujakosea. Mimi namuamini yule wa Ibrahimu Isaka na Yakobo..wewe je?Hilo ni neno la MUNGU wako, kuna wengine hawamwamini mungu wako kama wewe usivyomwamini MUNGU wao!!!!! Safari hii hata Sayansi inatetesika kuwa ngoma iko karibu...teh teh!DOOOOOM NGKAPA NGKAPAAA!
Naye ni mtabiri tu kama wengine!