afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
Unaogopa? Uza mali zako (and I mean MALI zako) zoote na unipe nikutunzie.
ni uze mali zangu halafu nikupe unitunzie ???? haueleweki mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaogopa? Uza mali zako (and I mean MALI zako) zoote na unipe nikutunzie.
a lot of speculations about 21/12/2012 to be the end of the world are put forward, the evidence given some are relating to bible like in the book of revelation, also our scientist have confirmed on the same day the possibility of earth experiencing solar maxima, coronal mass ejection from the sun, collision with another planet called nibia, earth axial tilt and the most widely connection is the end of the famous mayan calender on the same day, could all these things happening on 21/12/2012 a mere coincidence?
booooooo huuuuuuuuu
ebu uza kile kipima joto chako na lile wigi la pink tukajenge heshima bar manake mwisho wa dunia u karibu..
Usichokielewa nini sasa? Wewe unaogopa sasa mie nakupa njia ya ku manage risk ya kutokuwa na kitu in case haitatokea siku hiyo kuwa mwisho wa dunia. Unakuja tu kwangu ku claim back mali zako the following day.ni uze mali zangu halafu nikupe unitunzie ???? haueleweki mkuu
hahahahah lolz
hapana hili wingi langu naenda nalo popote..
We piga bei huo mkomkoteni basi tukanywe wanzuki hahah lol
Nimeangalia documentary moja majuzikati jamaa alizachanga karata zake vizuri akala early retirement nono kabisa ya bure kwa kumdanganya malkia. Na ile documentary ilikuwa ya zamani kidogo na mijitu mingine mifanatic tena ina PhD ilikuwa ikimsapoti eti alitabiri 9/11. Wataalam wakasasambua wakaona predictions zake ziko loose na zina fit many scenarios na events and can not be taken seriously, Nostradamus ni kielelezo cha mayahudi waliojanjaruka na bado wanaingiza watu kingi hadi leo.Nostradamus was a charlatan, the Mayans are overrated.
Mwisho wa dunia unaweza kuwa hata leo watu fulani wakiamua, hilo ndilo la kuogofya zaidi.
Usichokielewa nini sasa? Wewe unaogopa sasa mie nakupa njia ya ku manage risk ya kutokuwa na kitu in case haitatokea siku hiyo kuwa mwisho wa dunia. Unakuja tu kwangu ku claim back mali zako the following day.
Uza uniletee.
hahahahahaha hakikisha unafanya uwezalo ku tunza hiyo reception.. maana ukiharibika tu dahhhh ni kulala njaa..hahahah mkokoten ulienda na mafuriko yani kitu cha thamani nilichonacho sahizi ni hili tabasam langu tu...
Je wewe binafsi unaamini huo ndio utakuwa mwisho wa dunia au waliotafsiri maandiko ya Nostradamus na Mayan wameshindwa kung'amua ukweli? Kumbuka kuna utabiri wa matukio mbalimbali ambao ulifanywa na hawa watu ukiwa na ukweli ndani yake na hayo matukio yalitokea kweli.
There have been a lot of stories about how the world may end on the 21st of December, 2012. A lot of theories about the Mayan Calendar and other stories have been put forth by various people all over the world. What is your view on this speculation?
Read about this on wikipedia: 2012 phenomenon - Wikipedia, the free encyclopedia
Kwa wale wanaofuatilia mambo ya utabiri wa Nostradamus na hata wa watu wa Mayan kule South America wanasema Dunia inaweza kufika kikomo mwaka 2012 karibu na tarehe 21 Dec. Kumekuwa na documentaries nyingi kutoka History channel zikielezea matukio mbalimbali yanayoashiria ujio wa tukio hilo. Je wewe binafsi unaamini huo ndio utakuwa mwisho wa dunia au waliotafsiri maandiko ya Nostradamus na Mayan wameshindwa kung'amua ukweli? Kumbuka kuna utabiri wa matukio mbalimbali ambao ulifanywa na hawa watu ukiwa na ukweli ndani yake na hayo matukio yalitokea kweli.