End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

We,uctanie wa2 yesu alijui kanisa kabisa nawala hakuwai kuingia huko kama unalo andiko linalo onyesha yasu aliwahi kuingia nakuomba unisaidie
 
Jamani mbona huuni utoto kwani hii ni mara yangapi wana tangaza hivyo, na kwanini wasi shtakiwe? Kwa kuwatia hofu binaadam wenzao? Au ndio uli mwengu wa shetani?
 

Mmh, da flora msoffe kumbe u mwoga namna hii! The Great Tribulation ktk Revelation haiko namna hii unavyofikiri. Cool down dada.
 
Last edited by a moderator:
uuwi wale walioenda kuhiji mwezini!!? Ndo wataja ijaza dunia aghrrr manake huyu nibiru,au hlo jua likizimika kwa 3 days italeta mabadiliko makubwa!manake dunia itajiumba upya! xaxa ,aghrr kwahyo jamaa walioenda mwezin wakirud, watard na technology waliyosepa nayo,kisha tunaanza itumia mmmh lol
 

we are so close to there.na mi cjajiandaa uuwi
 
Dumb asse.s eti mnaamini mwisho wa dunia 21st dec!! Lolz!!! Watu wa technology wana plan future itakuaje, olympic, world cup, zote zishajulika a zishapangwa lini, sisi waafrika tushadanganywa na mzungu tunaanza kuingia woga! Kwa nnavojua hawa jamaa wangekuwa wanakaa chini na kujadili ni vipi wajikinge na majanga yatakayokuja, UN wangekaa na kulizungumzia.... My point is THERE IS NOOOOOOOOOOOTHING SERIOUS ABOUT IT!!! Get a life jamani, acheni kupumbazika
 

NASA gani walisema hivyo??? Weka link... Ninavyojua nasa walisema kuwa ni hoax.
 


yeah!
 
bado wk mbili tu kuelekea huo muda uliotabiriwa yote tutayajua kama watu walikuwa wanauza chai au la!
 

una uhakika gani kuwa wanakaa na kuyajadili au hawakai kabisa kuyaongelea hayo?
 
.... Wabongo bana.... Eti mwisho wa dunia.... Acheni upuuzi, hakuna mwisho wa dunia wala nini.... Hayo ni mambo ya y2k tu.
 
Mwisho wa dunia kwa maana ya viumbe upo na utakuja kwa mtindo mfano wa EVOLUTION. yaani yatatokea mabadiliko ya hewa kama kuongezeka kwa joto kutoweka kwa oksijeni na kadhalika. kidogokidogo viumbe hai vitakuwa extinct na hatimae hakutakuwa na uhai tena duniani. mwisho huu utatangulia ule ulioelezwa katika vitabu vitakatifu. kutoweka kwa uhai duniani kunaweza kuongezeka kasi kutokana na vitendo vya binadamu wenyewe kwa kukiuka utaratibu wa kimaumbile yaani nature ambayo ndiyo hufanya dunia iendelee kuwapo na viumbe waendelee kuishi
 
Sisi binadamu tanasumbuliwa na ujinga kuhusiana na uhai na mazingira. tunadhani kwa kujenga marosheni, kutengeneaza madege na maroketi, mameli na mavinu ya nuklia ndio tumeendelea. maendeleo ya aina hii yatafikia kilele yaani peak mahali ambapo hapawezekani tena na hapo ndipo mwendokasi wa kuporomoka kwa uhai utapoanza. ili dunia iendelee kuwepo ni lazima sayansi itafiti asili ya maisha na uhusiano wa maihsha/uhai na mazingira kikamilifu. kusingekuwa na maendeleo ya sayansi ya aina hii iliyopo duniani watu wangekuwa wachache sana lakini imara sana wangeweza kuishi hata miaka 500. msawazo wa uhai ungefuata nature; maji yangekuwa tele, hewa safi joto la kadiri n.k. Ni kazi ya sayansi kurejesha hali hii kwa kuelekeza vitendo vya mwanadamu namna ifaayo. mwisho wa dunia kwa mtindo wa parapanda na kuanguka nyota ni wa kutilia mashaka
 
Haya mambo yanazungumzwa pembeni pembeni tu.
"
NASA walishasema hakuna kitu siku hiyo,watu wamekoma kupiga makelele.
"
Hakuna cha Sayari Nibiru kuigonga dunia wala nini.
"
Kilichopo ni taarifa za mpango wa dunia kubadilika.Yaani kuuondoa mpango wa zaimani wa kumtegemea Mungu na kuleta mpango mpya wa binadamu kujitegemea mwenyewe.
"
Lakini pia habari hizi haziko wazi,bali kwa wale wanaofuatilia vyama vya siri watakua wanajua habari hizi.
"
Kwa kifupi hakuna kitu kama maafa siku hiyo,ila kama taarifa kutoka vyama vya siri ziko sahihi,mabadiliko yatakayotokea ni ya kimaisha na kiroho zaidi.
"
So,kama ni kujihami ni kujihami kiroho zaidi na sio kimwili.
"
Mambo ya majanga siku hiyo sio kweli kwamba yatatokea.Safisha matendo yako na umrudie Mungu!
 
No one knows the end, except GOD THE ALMIGHTY. who is NASA to anounce the end??
LQI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…