End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

Yanaweza yakatokea ama yasitokee

Bora yasitokee, maana madhara yake ni makubwa sana.
Mfano, kama kimondo kikiangukia baharini, tsumani yake itakayotokea itakuwa kubwa kuliko hii hapa kwenye picha.
attachment.php
 

Attachments

  • image_tsunami.jpg
    image_tsunami.jpg
    22.1 KB · Views: 428
Baadhi ya wanasaikolojia wanasema watu wanaotajataja na kuamini upuuzi huu, ndani kabisa ya akili zao wanatamani iwe kweli kwa sababu wamechoka maisha na wanataka kufa lakini hawataki kufa peke yao, wanataka dunia nzima iishe ili wasife huku wenzao wanafaidi dunia.
 
Hii ni picha ya kuchora inayoonyesha dunia ikigongwa na kimondo (sayari ndogo) toka anga za juu.
Kama dunia itagongwa na kimondo chenye ukubwa (diameter) wa kilometa moja, basi mlipuko utakaotokea katika mgongano huo unaweza kumaliza kabisa viumbe hai wote duniani.
Kama kimondo chenye ukubwa huo kitaangukia baharini, kutatokea tsumani itakayogharikisha dunia nzima.
Kama kimondo chenye ukubwa huo kitaangukia nchi kavu, kitasababisha mlipuko kama vile mlipuko wa volcano kubwa sana wa moto, vumbi, majivu na joto kali sana. Mlipuko huo utasababisha jua lifunikwe kabisa kwa vumbi na moshi mwingi, na kuwa giza kwa miaka mingi sana. Viumbe hai karibu vyote vitakufa kwa moto, moshi wa sumu, vumbi la sumu, njaa, n.k.
Yaani kwa kifupi ni janga kubwa sana !!!!

Aisee, kama ni hivyo, hii issue ni very serious.
 
Hii ni picha ya kuchora inayoonyesha dunia ikigongwa na kimondo (sayari ndogo) toka anga za juu.
Kama dunia itagongwa na kimondo chenye ukubwa (diameter) wa kilometa moja, basi mlipuko utakaotokea katika mgongano huo unaweza kumaliza kabisa viumbe hai wote duniani.
Kama kimondo chenye ukubwa huo kitaangukia baharini, kutatokea tsumani itakayogharikisha dunia nzima.
Kama kimondo chenye ukubwa huo kitaangukia nchi kavu, kitasababisha mlipuko kama vile mlipuko wa volcano kubwa sana wa moto, vumbi, majivu na joto kali sana. Mlipuko huo utasababisha jua lifunikwe kabisa kwa vumbi na moshi mwingi, na kuwa giza kwa miaka mingi sana. Viumbe hai karibu vyote vitakufa kwa moto, moshi wa sumu, vumbi la sumu, njaa, n.k.
Yaani kwa kifupi ni janga kubwa sana !!!!

Ni kweli kabisa inaweza kuwa wanasayansi wameona na kuthibitisha lakini maandiko ya Mungu yanakataa mwisho hauwezi kuja kwa mtindo huo.

Mpaka aje mpinga Kristo au Masih Dajal na dunia kupitia dhiki kuu, kisha aje Yesu Kristo au Issa bin Mariam hapo ndipo mwisho wa dunia utakuwa umefika na baada ya miaka 1000 ya kidunia kupita ili Yesu kwa mujibu wa Bible awafundishe wateule wake jinsi ya kuishi mji mpya.
 
attachment.php


@Kiranga Baadhi ya wanasaikolojia wanasema watu wanaotajataja na kuamini upuuzi huu, ndani kabisa ya akili zao wanatamani iwe kweli kwa sababu wamechoka maisha na wanataka kufa lakini hawataki kufa peke yao, wanataka dunia nzima iishe ili wasife huku wenzao wanafaidi dunia.

Hapa JF ndio kuna mambo yaani mwenye mawazo yoyote aliyoyaota usiku ayamwage tu tutayajibu,
Na hata Kikwete atueleze kwanini tunawaza haya yote ni njaa au maafa ni ya CCM
@omujubi kweli jf ni kijiwe cha magreat thinkers!
Naomba aje Nape basi au JK mwenyewe atueleze serikali imejiandaaje kwa hili!!
 
kwa mfano?

kwa mfano watu wa sodoma na gomora walihubiriwa waache maovu wakachagua kuendelea nayo,matokeo yake moto ukashuka toka mbinguni ukawaangamiza.watu wa ninawi walihubiriwa kuacha uovu,wakachagua kuacha,wakasurvive.the same scenario is there today.Mungu ametuonya kuacha uovu na kututahadharisha hatari iliyo mbele yetu.lakini sasa uovu unafanywa at a global scale na hivyo laana yake itakuwa at a global scale.soma kitabu cha ufunuo,utakuta yanayotukabili mle,jua kuunguza watu,widespread deseases,vimondo kuipiga dunia,vita kubwa duniani,natural disasters and definitely human being can no longer survive that.itabidi Mungu aifute dunia na waovu wote ili kuwaokoa wema wasiendelee kuteseka na dunia hii ya uovu.atawaanzishia dunia yao mpya.si maneno yangu ni maneno ya biblia.cha ajabu kila ilichozungumza biblia kilitokea na kinatokea.so i believe ufunuo.
 
Kwa wale wanaofuatilia mambo
ya utabiri wa Nostradamus na hata wa watu wa Mayan kule South America
wanasema Dunia inaweza kufika kikomo mwaka 2012 karibu na tarehe 21 Dec.

Kumekuwa na documentaries nyingi kutoka History channel zikielezea
matukio mbalimbali yanayoashiria ujio wa tukio hilo. Je wewe binafsi
unaamini huo ndio utakuwa mwisho wa dunia au waliotafsiri maandiko ya
Nostradamus na Mayan wameshindwa kung'amua ukweli?

Kumbuka kuna utabiri wa matukio mbalimbali ambao ulifanywa na hawa watu
ukiwa na ukweli ndani yake na hayo matukio yalitokea kweli.

We acha ujinga wa kulishwa maneno na ma freemason! nenda kasome biblia takatifu,Marko 12:32 utapata ukweli,usiyumbishwe sijui na akina NASA wala nini!
 
Hakuna majibu. Ila kama hii hapa kwenye picha itatokea, Mhhhh !!!!
attachment.php

hii kitu inayoonekana kwenye picha ambayo mwanamalundi anaielezea,inaitwa kitaalamu KT EXTINCTION.iliwahi kutokea miaka mamilioni huko nyuma ambapo kuna comet iliipiga dunia usawa wa mexico na kuivuruga kabisa ambapo viumbe hai wengi walioishi kipindi hicho kama dinosaurs waliangamia.comet hiyo iliibonyeza dunia ambapo ktk pwani ya mexico hivi leo kuna kitu kinaitwa chicxulub crater,shimo kubwa lililoachwa na impact hiyo.leo hii kuna threat kama hiyo ambapo scientific research mbali mbali zimeona kwa mbali comets kubwa zinazoonekana kukosa stability ya kubaki ktk mhimili wake na hivyo kutishia collision na dunia miaka 35 mpaka 60 ijayo.NASA hawawezi kuconfirm habari mbaya kama hii kwa dunia hata kama wanajua maana hawana solution ya kuzuia yasitokee.cha kustua hata vitabu vya dini vimetabiri another kt extinction wakati binadamu akiwepo duniani.ukisoma ufunuo sura ya 8 utaona mlolongo wa matukio ya natural disasters yanayofanana kabisa na kt extinction scientifically!nikipata muda nitaelezea kile sura hiyo inachosema na nadharia ya kt extinction kisayansi muone mfanano wake!
 
hii kitu inayoonekana kwenye picha ambayo mwanamalundi anaielezea,inaitwa kitaalamu KT EXTINCTION.iliwahi kutokea miaka mamilioni huko nyuma ambapo kuna comet iliipiga dunia usawa wa mexico na kuivuruga kabisa ambapo viumbe hai wengi walioishi kipindi hicho kama dinosaurs waliangamia.comet hiyo iliibonyeza dunia ambapo ktk pwani ya mexico hivi leo kuna kitu kinaitwa chicxulub crater,shimo kubwa lililoachwa na impact hiyo.leo hii kuna threat kama hiyo ambapo scientific research mbali mbali zimeona kwa mbali comets kubwa zinazoonekana kukosa stability ya kubaki ktk mhimili wake na hivyo kutishia collision na dunia miaka 35 mpaka 60 ijayo.NASA hawawezi kuconfirm habari mbaya kama hii kwa dunia hata kama wanajua maana hawana solution ya kuzuia yasitokee.cha kustua hata vitabu vya dini vimetabiri another kt extinction wakati binadamu akiwepo duniani.ukisoma ufunuo sura ya 8 utaona mlolongo wa matukio ya natural disasters yanayofanana kabisa na kt extinction scientifically!nikipata muda nitaelezea kile sura hiyo inachosema na nadharia ya kt extinction kisayansi muone mfanano wake!

Hapo kwenye blue,

Ufunou 08:10-11 inasema:-
10: Malaika wa tatu akapiga baragumu, nyota kubwa ikaanguka kutoka mbinguni, iliyokuwa ikiwaka kama taa, ikaanguka juu ya theluthi ya mito, na juu ya chemchemi za maji. 11: Na jina lake ile nyota yaitwa Pakanga; theluthi ya maji ikawa pakanga, na wanadamu wengi wakafa kwa maji hayo, kwa kuwa yalitiwa uchungu.
 
Hapo kwenye blue,

Ufunou 08:10-11 inasema:-
10: Malaika wa tatu akapiga baragumu, nyota kubwa ikaanguka kutoka mbinguni, iliyokuwa ikiwaka kama taa, ikaanguka juu ya theluthi ya mito, na juu ya chemchemi za maji. 11: Na jina lake ile nyota yaitwa Pakanga; theluthi ya maji ikawa pakanga, na wanadamu wengi wakafa kwa maji hayo, kwa kuwa yalitiwa uchungu.

Ikitumbukia baharini ujue hadithi ya Nuhu itajirudia. Labda watapona wale jamaa wa kule milimabi Thame.
 
The history of calendars spans several thousand years. In many early civilizations, calendar systems were developed. For example, in Summer, the birthplace of the modern sexagesimal system, there were 12 months of 29 or 30 days apiece, much like the modern Gregorian calendar. Mesoamerican cultures also developed their own intricate calendars; the ancient Maya had two separate years—the 260-day Sacred Round, and the 365-day Vague Year. Classical Greek and Roman cultures also developed calendars; the ancient Athenians, for one, had a lunisolar calendar that lasted 364 days, with an intercalary month added every other year. The Romans used two different year lengths; the older one had 304 days divided into 10 months; the newer 365 days divided into 12 months; very much like the modern calendar. They counted years from the founding of Rome, or, sometimes, from the reign of the current consul.


During the early Middle Ages, various local calendars were used in Europe. The presently common Anno Domini system was developed in the 8th century, but the system only became common several centuries later, and even then, rival systems remained in use. Distinct from the rest of Europe, the Scandinavian Vikings maintained their own calendar during this time, which was divided into two seasons; summer and winter. A definition of the calendar day resembling the modern one was first stated in the latter part of the 13th century.
 
NIBIRU - PLANET X Will a planet called Nibiru bring about the
end of the world on December 21, 2012?
Let's start by looking at where this idea of
the world being destroyed by a planet
came from. The stories being told about Nibiru
(sometimes called Planet-X) were first
spread by a man called Zecharia Sitchin.
Sitchin, who died on October 9, 2010, said
that he could understand the ancient
writings and drawings of the Sumerian people who lived a long, long time ago. Sitchin believed that the Sumerian people
spoke of a 12th planet in our solar system
and in 1976 he wrote a book called The
12th Planet. Sitchin got his total of twelve
(not 8 which is what we actually have)
because he says the Sumerians counted the sun and moon as planets and because
Sitchin also included Pluto as a planet. Plus
one more: Nibiru. But as the Sumerians did not have
telescops to know this information about
our solar system how did they find out?
Sitchen says it is because they were given
this knowledge by ancient aliens who
visited our planet a long time ago. He also says that these aliens (whom he calls
ancient astronauts - or space travellers)
created the Sumerian people! Here's a good question... if these aliens
were so smart that they could travel
between solar systems and maybe even
galaxies, and if they knew about a 12th
planet in our solar system, and they shared
this information with the Sumerians long ago, then how come they weren't smart
enough to know the difference between a
sun and a planet! We actually only have 8 planets in our solar
system (the sun and moon of course are
not planets so that brings Zecharia Sitchin’s
the total of 12 down to 10). Scientists no
longer consider Pluto a planet (which
brings the total down to 9). And, as we will see shortly, Nibiru doesn’t exist (which
brings the total down to 8 ). So that leaves:
Mercury (closest to the sun); Venus; Earth;
Mars; Jupiter; Saturn; Uranus and Neptune. Anyway, Sitchin believed that Nibiru had an
orbit around the sun that went way out
past Neptune at the edge of our solar
system. He believed that because its
elliptical orbit was so large, it only passed
near earth every 3,600 years…. An elliptical shape is a bit like an egg, not
exactly round. Sitchen believed that during
part of it's eliptical orbit or journey around
the sun, Nibiru would go way out past the
last planet in our solar system... then, it
would pass through the solar system coming close to the earth. Soooo, where did the idea that Nibiru
would arrive on December 21, 2012 come
from? It started when Zecharia Sitchin had
originally put forth the idea that Nibiru and
an alien race called the Anunnaki would
come back to earth sometime this century. Not long after Sitchin said this, Nancy Lieder
(who believed she was getting messages
from aliens) said that aliens had warned
her that the Earth was in danger from
Nibiru’s return around May 2003. Nothing
happened! The date was then changed to 2012. It’s wasn’t long after that that some
people suggested the Mayan long count
calendar ended on December 21, 2012
because the Mayans knew that Nibiru was
coming. [I personally believe that Nancy Lieder was
either influenced by, drugs, demons or was
mentally ill – she is in good company with
Terrance McKenna who predicted in 1992
that the end of the world would come at
precisely 6am on December 21, 2012. How did he know this? The message, he said,
came through the use of hallucinogenic
substances (drugs) such as LSD and magic
mushrooms!! He thought that the spores in
the mushrooms contained messages left by
aliens – yeah right!] Was Sitchin right or wrong? Is Nibiru
coming? Well, you can prove that for
yourself right now. If Nibiru was going to pass by so close to
the earth on December 21, 2012 that it
would either hit the earth or cause natural
disasters by its gravitational force, you
would be able to see it now! And you
wouldn’t need a telescope. Nibiru would be so close that you would practically be
able to poke your head outside the door of
your house and see Nibiru in the sky with
your naked eye, just like you can see the
moon. Could it be hiding behind the sun? Well,
yes, the sun would be big enough to hide a
planet. But if Nibiru was a moving planet
on an orbit as it is supposed to be, it would
have been seen well before it moved
behind the sun. It would also be moving at its fastest so it wouldn’t be behind the
sun for long. Thousands of people on
earth have telescopes that can see further
away than the sun so they would have
been able to see a sneaky planet travel
through our solar system and then hide behind the sun. No one has reported
seeing this happen because, it didn’t
happen! Nibiru can’t be seen because it
doesn’t exist. If scientists can see Pluto on the outer edge
of our solar system, they would not have
any problems seeing a planet that Sitchin
says is five times bigger than Pluto!
Especially if it is going to pass us by in a few
days. Nibiru is nonsense, a myth, false, fake, a hoax and completely untrue. Don’t
believe it. This means that if Nibiru doesn't
exist, then it's not going to be causing
catastrophic world wide destruction
through a pole shift, earthquake or other
natural disasters. Does all this mean that the earth will never
be under threat from anything big out
there in space? No! The following
prophecy needs to be taken seriously.
Obviously, it’s not from Nostradamus. The
prophecy says, “Immediately after the tribulation of those days shall the sun be
darkened, and the moon shall not give her
light, and the stars shall fall from heaven,
and the powers of the heavens shall be
shaken” (Matthew 24:29)
 
aithee hujafika thame bado?tarehe 21 hiyo inakaribia athee!

Athee mi ndio najiandaa apa chalii angu. Napitia pale thame then naenda kule juu vudee au ntahamia kula mamba myamba kwenye kiwanda cha Tangawizi nkale tangawizi kwanza kabla mwisho wa dunia aujafika
 
Back
Top Bottom