chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 902
Ingekuwa vizuri viumbe hawa wakaanzia kwenye ofisi za ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanaweza yakatokea ama yasitokee
acha waje.....
kweli jf ni kijiwe cha magreat thinkers!ahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa_good Preta..watu wazima hawatishiwi nyau bhana.
Hii ni picha ya kuchora inayoonyesha dunia ikigongwa na kimondo (sayari ndogo) toka anga za juu.
Kama dunia itagongwa na kimondo chenye ukubwa (diameter) wa kilometa moja, basi mlipuko utakaotokea katika mgongano huo unaweza kumaliza kabisa viumbe hai wote duniani.
Kama kimondo chenye ukubwa huo kitaangukia baharini, kutatokea tsumani itakayogharikisha dunia nzima.
Kama kimondo chenye ukubwa huo kitaangukia nchi kavu, kitasababisha mlipuko kama vile mlipuko wa volcano kubwa sana wa moto, vumbi, majivu na joto kali sana. Mlipuko huo utasababisha jua lifunikwe kabisa kwa vumbi na moshi mwingi, na kuwa giza kwa miaka mingi sana. Viumbe hai karibu vyote vitakufa kwa moto, moshi wa sumu, vumbi la sumu, njaa, n.k.
Yaani kwa kifupi ni janga kubwa sana !!!!

kwa mfano?
Kwa wale wanaofuatilia mambo
ya utabiri wa Nostradamus na hata wa watu wa Mayan kule South America
wanasema Dunia inaweza kufika kikomo mwaka 2012 karibu na tarehe 21 Dec.
Kumekuwa na documentaries nyingi kutoka History channel zikielezea
matukio mbalimbali yanayoashiria ujio wa tukio hilo. Je wewe binafsi
unaamini huo ndio utakuwa mwisho wa dunia au waliotafsiri maandiko ya
Nostradamus na Mayan wameshindwa kung'amua ukweli?
Kumbuka kuna utabiri wa matukio mbalimbali ambao ulifanywa na hawa watu
ukiwa na ukweli ndani yake na hayo matukio yalitokea kweli.
Hakuna majibu. Ila kama hii hapa kwenye picha itatokea, Mhhhh !!!!
![]()
hii kitu inayoonekana kwenye picha ambayo mwanamalundi anaielezea,inaitwa kitaalamu KT EXTINCTION.iliwahi kutokea miaka mamilioni huko nyuma ambapo kuna comet iliipiga dunia usawa wa mexico na kuivuruga kabisa ambapo viumbe hai wengi walioishi kipindi hicho kama dinosaurs waliangamia.comet hiyo iliibonyeza dunia ambapo ktk pwani ya mexico hivi leo kuna kitu kinaitwa chicxulub crater,shimo kubwa lililoachwa na impact hiyo.leo hii kuna threat kama hiyo ambapo scientific research mbali mbali zimeona kwa mbali comets kubwa zinazoonekana kukosa stability ya kubaki ktk mhimili wake na hivyo kutishia collision na dunia miaka 35 mpaka 60 ijayo.NASA hawawezi kuconfirm habari mbaya kama hii kwa dunia hata kama wanajua maana hawana solution ya kuzuia yasitokee.cha kustua hata vitabu vya dini vimetabiri another kt extinction wakati binadamu akiwepo duniani.ukisoma ufunuo sura ya 8 utaona mlolongo wa matukio ya natural disasters yanayofanana kabisa na kt extinction scientifically!nikipata muda nitaelezea kile sura hiyo inachosema na nadharia ya kt extinction kisayansi muone mfanano wake!
Hapo kwenye blue,
Ufunou 08:10-11 inasema:-
10: Malaika wa tatu akapiga baragumu, nyota kubwa ikaanguka kutoka mbinguni, iliyokuwa ikiwaka kama taa, ikaanguka juu ya theluthi ya mito, na juu ya chemchemi za maji. 11: Na jina lake ile nyota yaitwa Pakanga; theluthi ya maji ikawa pakanga, na wanadamu wengi wakafa kwa maji hayo, kwa kuwa yalitiwa uchungu.
Ikitumbukia baharini ujue hadithi ya Nuhu itajirudia. Labda watapona wale jamaa wa kule milimabi Thame.
Naenda thame wiki ijayo
Naenda thame wiki ijayo
aithee hujafika thame bado?tarehe 21 hiyo inakaribia athee!