End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

The Dooms Day which was scheduled for 2012 has been Postponed till 3012,due to Technically Problems,Please Cooperate and Enjoy Livinwith The Spirit.

Ha,ha,ha,ha,ha,haaa!Kwa mambo yalivyo sidhani kama binadamu atakuwepo 3012!
 
Zimebakia siku 2, na ela ya kwenda France kwenye vile vilima sina....

jamani ipad3 mbona hamumkaribishi huyu jamaa huko mamba miamba ndolwa ale tangawizi huku akithubiri tarehe kwa amani?ndg yangu hamna haja ya ndege,ndolwa unafika na thafanana tuu!
 
hawa ni wajinga tu kama wajinga wengine!!! only God knows when and how then end of the world will be!!!! sasa hawa sijui nyasa sijui NASA waseme wajuavyo ila ni mungu ndio ajuaye!!
 
Kabla ya mwisho wa dunia kuna mambo meeengi saaana yametabiriwa kutokea kama dalili,watu kuzidisha uovu kupindukia,maarifa kuwa makubwa mno,Dini kuchafuliwa,njaa,vita,magonjwa,mipango ya kuanzisha serikali moja na dini moja duniani,matetemeko ya ardhi makubwa sana,ishara za ajabu angani,jua kuwa kali kupindukia,vimondo kuipiga dunia(mvua ya mawe ya moto),viumbe wa ajabu kuvamia na kutesa binadamu,mataifa makubwa duniani kuporomoka,mji mkubwa sana duniani kuangamia,taasisi kubwa sana ya kidini duniani kuanguka,jua na mwezi kutiwa giza na baada ya hapo sasa....nikae kimya maana ni rahisi kuyaongea haya lakini kiuhalisia kuna shida huko mbele maana hata bible yenyewe inasema watu watatafuta kifo lakini kitawakimbia!

Sasa hayo yote mmeshayaona hata mseme dec 21 ni mwisho wa dunia? Hii tabia ya kupanga tarehe ya mwisho wa dunia ni mpango wa kishetani ili kuwafanya watu wapuuzie maonyo ya siku za mwisho pale watakapoona mwisho hautokei kwa tarehe zinazosemwa. Matokeo yake baadae watu watapuuza unabii na maonyo yote kuhusu mwisho wa dunia kiasi kwamba mwisho halisi utakapokuwa unafika wengi hawataamini wala kujua.mwisho tutaujua kwa dalili na ishara tulizoambiwa na sio kwa hesabu za muda.

Tuepuke kutumia unabii wa muda utatupoteza!

NASEMA HIVII, KESHO SIO MWISHO WA DUNIA!
 
Kuna watu wanatumia biblia kuhalalisha tukio la dunia kupigwa na kimondo kama mwisho wa dunia.

Ni kweli biblia imetabiri tukio hilo na watu wengi watakufa lakini hautakuwa mwisho. Dunia na watu wengine wengi tu watasurvive lkn hali ya dunia itakuwa mbaya. Na hilo ni tukio moja tu. Yapo mengi makubwa yatafuatia but still kutakuwa na watu duniani.

Mwisho wa dunia wenyewe utafika pale shetani akiwaongoza binadamu wengi walioasi watakapotaka kupigana na Mwenyezi MUNGU. Hapo ndio kiama itatokea kwa kile MZEE WA SIKU atakachokifanya kuzima uasi huo(itakuwa mara ya pili lucifer kujaribu kupigana na MUNGU. Mara ya kwanza alidanganya baadhi ya Malaika mbinguni,akatandikwa vibaya na kutupwa duniani). Sasa badala ya kutubu anapoteza viumbe wengine wa MUNGU na kurudia mkakati wake. MUNGU atasema IMETOSHA. Kitakachomkuta pale bondeni HARMAGEDDON yeye na dunia hii aliyoichafua kinatisha sana.hakisimuliki.bora tumuache mwenyewe KICHWA NGUMU na balaa lake.sie tujinyenyekeze kwa MUUMBA wetu.
 
hawa ni wajinga tu kama wajinga wengine!!! only God knows when and how then end of the world will be!!!! sasa hawa sijui nyasa sijui NASA waseme wajuavyo ila ni mungu ndio ajuaye!!

Unadhani kila mtu anaamini Mungu?
 
Haya tarehe iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu imeshawajia. Haya mwisho wa dunia saa ngapi??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
saa 11.11 pm wewe subiri ikifika muda huo tutakuwa hapa jamvini tunajadili mambo mengi tu pamoja na hilo.
 
Katika mahubiri ya Uislam inasadikika kwamba kiama kitakuwa siku ya Ijumaa, na watakaokuwepo misikitini siku hiyo watasalimika, lakini baada ya dalili nyingi kuonekana. Mpaka sasa hakuna dalili iliyoonekana kwa hiyo sio Ijumaa ya leo, ila nashauri mwende mkaswali misikitini kama kawaida.
 
haya sasa yako wapi jamani leo ndio ile siku hata dalili ya chochote hakuna. watu twaendelea kula maisha.
 
Kuna kitu kinatokea sasa hivi, hebu subirini kidogo mtapata news
 
hakuna cha scientist, religious people wala traditionalists. bila bila
japo mayans wenyewe wanadai leo ni mwanzo wa transformation to more civilized society (age of aquarious) enlightment spiritual transformation etc.
 
Subjectivity is too contrary with objectivity; no one knows what will happens tomorrow but only god
 
Na kuna nchi tayari saa hizi ni tarehe 22/12/2012

Jamaa walisema mwisho utakuwa 21st December 2012, 11:21 !!!
Sasa, walisahau kusema hiyo 11:21 ni kwa saa za wapi !!!????
Labda ni saa za Marekani, au saa za TZ ????
Au labda ile 'comet' iliyopaswa kugongana na dunia imechelewa kidogo !!!
 
Tatizo watu ufuatiliaji ni mdogo sana.
"
Leo sio mwisho wa dunia na hawakusema hayo.
"
Leo ni mwanzo wa kizazi cha Aquarius,ni mabadiliko ya kiroho zaidi.
"
Hata hivyo mabadiliko hayo hayatokei kwa mkupuo.
"
Ni hatua kwa hatua,lakini kasi yake ni kubwa sana.
"
Hebu fuatilieni habari mtagundua.Kuna mambo ya kuondoa umaskini,maradhi kupatiwa dawa n.k!
"
Kuna mambo mengi yatatokea lakini wale wafuatiliaji tu ndo wataona mabadiliko!
 
Back
Top Bottom