Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 203
Hata hivyo mkuu ulivyokuja kwa kasi namna hii (mpaka unahema juu juu..) ina maana hapo mwanzo ulikuwa unaamini haya? mbona yalishapita mda tuu!!? Pole sana.....kunywa maji basi kidogo ushushe presha hiyo...!!!
mkuu nina plans nyingi sana kufa mwakani.
hahahahahaaaaa...pole sana..sasa ila kumbuka sikuhizi kufa si lazima ifike hiyo 2012...hasa kwa TZ...kuna MV SPICE nyingi tu, maajali chungu mzima, hosptal dawa hamna na "ngoma" ndo nje nje wakati malaria inashika kasi tu ...umeme wa mgao usiku unatembea giza vibaka kibao(nondo kwa kwenda mbele), hapo bado hujasingiziwa kesi acha kushinda na njaa maana vyakula vinapanda bei kwa mwendo wa mshale wa sekunde wa saa...KIFO NJE NJE TU mkuu! Tumwombe Mungu tu kilichobaki...
Hatakuja!Hakuna ajuae siku wala saa ya kuja kwake Mwana wa Adam ila Baba wa Mbinguni. Cha msingi ni kuwa tayari kumlaki mawinguni pindi siku na saa itakapofika