Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni wapi huko wanakouziwa mafuta ya upako na maji ya baraka?Dalili mojawapo ni ongezeko la majuha wanaotapeliwa kwa kuuziwa mafuta ya upako, maji ya baraka, vitambaa nk
watu kujipenda wenyewe, kupenda anasa, kupenda fedha, wenye mfano wa utaua, upendo wa wengi kupoa, wasiowapenda wa kwao. Kuibuka kwa manabii wa uongoDalili za siku za mwisho ni kuenea kwa injili, acheni upotoshaji.
Chai"Itakapofika nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi
Watu wataingia katika dini yake makundi kwa makundi"
kama wajinga ndio wali wao, je makande ni ya akina nani?Wajinga ndio waliwao...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo makande utayala ww usiye jua mbinu yakuwalaa wajingaa [emoji23]kama wajinga ndio wali wao, je makande ni ya akina nani?
Kwa tapeli Mwamposa, tapeli Lusekelo nkni wapi huko wanakouziwa mafuta ya upako na maji ya baraka?