END OF TIMES: Uzi spesheli wa viashiria vya siku za mwisho

Siku CCM wakiruhusu tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, mimi nitatubu dhambi zote maana najua mwisho wa dunia umefika
 
Tatizo lenu mafarisayo mnapenda sana kuhukumu na kujihesabia haki utadhani nyinyi ni Mungu,najua lengo lako lilikua ni hao wachungaji wenye madreads ila biblia ipo wazi inasema, makahaba watawatangulia kwenye ufalme nyinyi mafarisayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…