Endapo Hussein Mwinyi atamaliza kipindi chake cha urais Zanzibar mwaka 2030 na akataka kuhamia siasa za Bara kama ilivyowahi kutokea kwa baba yake (rip),
Je ndani ya CCM kutakuwa na nguvu au makundi yenye uwezo wa kumpinga au kumzuia kupata nafasi ya kugombea ?
Je ndani ya CCM kutakuwa na nguvu au makundi yenye uwezo wa kumpinga au kumzuia kupata nafasi ya kugombea ?