Joe Milla
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,622
- 2,897
Hivi faida ya kuwa na rais wa imani/ dini ya upande wako inakuwaga ni nini? Sijaelewaga mpaka leo.Ukristu tena wa RC
Uislamu wa Bakwata
Miaka 10 kwa 10 kupotezana
Kama uko nje ya hizi Taasisi mbili Sahau kuhusu “uRAIS”