Hussein Mwinyi ni mtanganyika. Kule zanzibar yupo kwa mkopo. In fact Hussein hata mingi ya Zanzibar haijui.Acha utaahira hizo pesa mlizopewa ni za Moto
Kama hamjui hata kupokeza nchini kukoje , nyie Uvccm mmelaaniwa
Safari hii sisi walutheri hatutakubali, lazima Mwigulu awe rais.Ukristu tena wa RC
Uislamu wa Bakwata
Miaka 10 kwa 10 kupotezana
Kama uko nje ya hizi Taasisi mbili Sahau kuhusu “uRAIS”
Mzanzibar awezi kuchaguliwa na watanganyika labda wafanye ushenzi mwingine wa kumwaga damu ya watanganyika kama alivyo fanya Samia Oct 29Endapo Hussein Mwinyi atamaliza kipindi chake cha urais Zanzibar mwaka 2030 na akataka kuhamia siasa za Bara kama ilivyowahi kutokea kwa baba yake (rip),
Je ndani ya CCM kutakuwa na nguvu au makundi yenye uwezo wa kumpinga au kumzuia kupata nafasi ya kugombea ?
Mkuu Lowasa walipiga chini kutokana na mikataba ya Uhuru mwaka 1961Safari hii sisi walutheri hatutakubali, lazima Mwigulu awe rais.
RC wapumzike.
nani kakuambia ni mzanzibari? chawa mnalishwa matango pori tu na mnakubaliMzanzibar awezi kuchaguliwa na watanganyika labda wafanye ushenzi mwingine wa kumwaga damu ya watanganyika kama alivyo fanya Samia Oct 29
Safari hii walutheri tunapindua meza, hakuna cha mkataba wala bba yake mkataba, bora tukose wote Rais awa mlokole Dr Gwajima.Mkuu Lowasa walipiga chini kutokana na mikataba ya Uhuru mwaka 1961
Yani ni Roman Catholic na Bakwata
Nje ya hapo kwa sasa haiwezekani
Mwigulu ashapewa uwaziri mkuu zilikuwa hesabu kali za kimkakati, kabanwa kwenye angle chama hakina utamaduni wa kuweka rais ambae tayari amewahi kuwa na cheo kikubwa kamawaziri mkuu, spika, makamuwa rais, (labda hapo zamani enzi za Nyerere)Safari hii sisi walutheri hatutakubali, lazima Mwigulu awe rais.
RC wapumzike.
Mtu asiye mzanzibar ana ruhusq kuwa rais wa Zanzibar..tumia akili wewe kafirinani kakuambia ni mzanzibari? chawa mnalishwa matango pori tu na mnakubali
Labda katiba ibaki kama ilivyo, yaani akiondoka/akifariki Rais, basi makamu wake anachukua uongozi. Tofauti na hapo, Nchi hii, baada ya Samia, hatakuja kutawala Mzenji au Mwanamke!Mzanzibar awezi kuchaguliwa na watanganyika labda wafanye ushenzi mwingine wa kumwaga damu ya watanganyika kama alivyo fanya Samia Oct 29
"Mingi" ndiyo nini mkuu?!!!Hussein Mwinyi ni mtanganyika. Kule zanzibar yupo kwa mkopo. In fact Hussein hata mingi ya Zanzibar haijui.
bado unaendelea kuonyesha ulivyo huna akiliMtu asiye mzanzibar ana ruhusq kuwa rais wa Zanzibar..tumia akili wewe kafiri
mwaka huu kaingia 60, umri bado unaruhusuMwinyi kwa umri wqke now hna interest tena na uongoz mkubwa. Harud bara yule