Endapo Hussein Mwinyi atamaliza urais wake Zanzibar 2030 na akataka kuendelea Bara kama baba yake, ndani ya CCM yupo wa kumzuia ?

Ukristu tena wa RC
Uislamu wa Bakwata
Miaka 10 kwa 10 kupotezana

Kama uko nje ya hizi Taasisi mbili Sahau kuhusu “uRAIS”
Hivi faida ya kuwa na rais wa imani/ dini ya upande wako inakuwaga ni nini? Sijaelewaga mpaka leo.
 
Mwigulu ashapewa uwaziri mkuu zilikuwa hesabu kali za kimkakati, kabanwa kwenye angle chama hakina utamaduni wa kuweka rais ambae tayari amewahi kuwa na cheo kikubwa kamawaziri mkuu, spika, makamuwa rais, (labda hapo zamani enzi za Nyerere)
Samia hakuwa na ndoto wala malengo ya kuwa Rais ila ameweza ku force her way into presidency. Nani au nini cha kumzuia mlutheri wetu mwiguli awe Rais, labda kifo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…