Endapo itathibitishwa Kuungua soko la Kariakoo na sasa Karume ni mpango, wanaopanga mipango hii ni Magaidi?

Ndio, kwani huwajui? Tangu lini moto ukaona aibu kuwaka mchana? Since when?!
Ila ni bora kwenda machinga complex tu
 
Haiwezekan Kuwa gaidi, gaidi si amefungiwa, watuambie sababu nyingine
 
Huyo gaidi gani anayeunguza masoko??
 
Tuendelee kutiririka, huku tukijikumbusha kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
Jiulize kwanini Majaliwa hakutoa ripoti ya uchunguzi wa kamati aliyoiunda mwenyewe ya kuungua soko la kariakoo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…