Endapo John Mnyika atahamia CCM atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu "mfululizo" kuhamia chama tawala na wa 4 kwa muda wote

Leo tunapiga Loki mwingine. Namzungumzia boss wako nasikia mambo magumu huko
Hahahaaaa...... Hapa tunapokea salamu za pongezi kutoka sehemu mbalimbali duniani kwa namna tulivyoikabili Corona jana WHO wametupongeza na kutupigia mfano.
Leo Trump katufagilia vile vile na kusema sasa ataiga baadhi ya mambo kutoka kwetu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Wewe binti huchokagi na hizo ndoto zako?
 
Acha unafiki kwa Dr Slaa kuteuliwa na Raisi haimanidhi kahamia CCM
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 

Pamoja na kuwachukulia makatibu wao, lakn bado iliendelea kuwapo na hawakukosa makatibu wengine wa kuwateua.
 
Yani waige ukichaa?
 
Kati ya Mnyika na chadema kipi kilianza ukipata jibu ndo utajua Kama ni pigo au sio pigo
 
Akifanya hivyo atakiuwa chama completely
 
Je toka hao makatibu wakuu wamehamia CCM, je bi ya sukari imeshawahi kushuka? Halafu kwa taarifa yako Dr. Mihogo hajawhi kurudi CCM
 
Kwani Mbowe sio form 6? tena form 6 failure? kwa nini hatumuhitaji yeye kama tunahitaji ma'form 6?

Mnyika ni University dropout, na ninauhakika kwa kipindi chote hiki alishajiendeleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipimo vya elimu unavielewa ndugu yangu zwazwa? Unaweza kumuita Mbowe failure? Nenda kamuulize PhD holder wako atakupa majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wema unamchukia hivyo baada ya kukunyang'anya Mwigulu aliporudi ccm? Au ulizani atapigiwa chapuo naye kuwa naibu kama wewe?
Maana kwenye kitengo cha ugawaji wote ni magwiji.
(Pichani Naibu waziri akizungumza na mwanahip hop Chid Benz. Picha hii haina uhusiano na post hii)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakudadavuwa yuko poa bwashee!
 
KWANI AKIHAMIA WEWE UNAUMIA NINI?
 
Siasa ni itikadi si imani ya dini au ushabiki wa mpira kama wa Yanga na paka sorry simba, ni haki na nirahisi kuhama vyama
Siasa ni itikadi si imani ya dini au ushabiki wa mpira kama wa SIMBA na chura wa matopeni sorry Yanga, ni rahisi kuhama vyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…