Endapo John Mnyika atahamia CCM atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu "mfululizo" kuhamia chama tawala na wa 4 kwa muda wote

Mkuu, Dr. Slaa hajawahi kuhamia ccm baada ya kuwa katibu mkuu chadema bali alianzia ccm na kitimkia chadema baada ya kutoswa kura za maoni ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wasomi ndiyo nyinyi mnaoandika maelezo aya tatu kwa kutumia herufi kubwa pekee siyo! Wasomi mnao ndiyo ila na vituko pia mnavyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wote ulio wataja Ni CCM walienda upinzani wakarudi CCM na hata mbowe Yuko upinzani na bado ana kadi ya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keep on dreaming!!
 
Najua ujumbe umekugusa.
Unao ujumbe gani wewe wa kunigusa mimi kama sio kujiandikia tu lolote linalokujia kichwani.

Nilishakueleza tokea zamani, huo 'Umalunde' ndilo tatizo kubwa kwako; lakini naona sasa si hivyo tu, ni pamoja na akili mbovu, vyote vinachangia kwa pamoja uwe kama ulivyo.
 
Aliyepost kwamba John Mnyika atajiunga Ccm ni johnthebaptist sasa mimi kosa langu liko wapi? Kama atajiunga Ccm sio mbaya nashangaa unaanza kunikebehi.
 
Karibu CCM kuliponoga. Oktoba 2020 tunapita bila kupingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…