Endapo John Mnyika atahamia CCM atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu "mfululizo" kuhamia chama tawala na wa 4 kwa muda wote

Endapo John Mnyika atahamia CCM atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu "mfululizo" kuhamia chama tawala na wa 4 kwa muda wote

Napenda tu kuwakumbusha wanasiasa na wananchi kwa ujumla kwamba endapo Katibu mkuu wa sasa wa Chadema mh Mnyika atafanikiwa kuhamia CCM basi atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu mfululizo kufanya hivyo.
Lakini pia atakuwa ni Katibu mkuu wa 4 katika orodha ya wanachama wa Chadema waliowahi kushika wadhifa huo kuhamia CCM.

Hadi sasa madaktari watatu waliowahi kuwa makatibu wakuu wa Chadema na kutimkia CCM ni Dr Amani Kabourou, Dr Mashinji na Dr Slaa.

Ikumbukwe kuwa JJ Mnyika hakuridhishwa na utaratibu uliotumika kumsajili mzee Lowassa Chadema kwa gharama ya kumpoteza Dr Slaa na alishafanya maamuzi kuwa akimaliza kipindi hiki cha ubunge anahamia CCM.

Endapo lengo la Mnyika litatimia basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa siasa za Ufipa na viunga vyake.

Mungu iponye Chadema.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu, Dr. Slaa hajawahi kuhamia ccm baada ya kuwa katibu mkuu chadema bali alianzia ccm na kitimkia chadema baada ya kutoswa kura za maoni ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MNYIKA NI MTU MDOGO SANA NDANI YA CHADEMA CHAMA AMBACHO KINAUGWA MKONO NA MAMILIONI YA WATANZANIA

AKITOKA HUYU ANAINGIA HUYU CHADEMA INA VIJANA WASOMI WENGI ZAIDI WENYE ELIMU YA JUU NA WENYE WELEDI,

KWAIYO MLETA UZII HAKINA MAANA YEYOTE ILE

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wasomi ndiyo nyinyi mnaoandika maelezo aya tatu kwa kutumia herufi kubwa pekee siyo! Wasomi mnao ndiyo ila na vituko pia mnavyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quote hapa hayo maamuzi yake na sio kumsemea unachofikiri wewe.
Halafu unadhani kwa nini wakitoka Chadema kuja huko wanapewa nyazifa za kuaminika?
Dr Kabouru aliukwaa uenyekiti Kigoma na ujumbe wa NEC, Slaa akapewa ubalozi wa Sweden na kwa siri ni mshauri wa Jiwe na Mashiji ni suala LA muda tuu.
Jee wakati wanapewa hizo nafasi wafia chama wameenda wapi? Wapo Ila hawana uwezo kabisa.
Hivi jiulize mtu wenu kama Ndugai umuweke Chadema atapata wadhifa gani kwa uwezo duni alio nao? Ndugai hata Katibu wa Chadema Kata hawezi pewa ndio tofauti ya vyama hivi. Hivyo JJ kama anataka kwenda aende tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote ulio wataja Ni CCM walienda upinzani wakarudi CCM na hata mbowe Yuko upinzani na bado ana kadi ya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda tu kuwakumbusha wanasiasa na wananchi kwa ujumla kwamba endapo Katibu mkuu wa sasa wa Chadema mh Mnyika atafanikiwa kuhamia CCM basi atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu mfululizo kufanya hivyo.
Lakini pia atakuwa ni Katibu mkuu wa 4 katika orodha ya wanachama wa Chadema waliowahi kushika wadhifa huo kuhamia CCM.

Hadi sasa madaktari watatu waliowahi kuwa makatibu wakuu wa Chadema na kutimkia CCM ni Dr Amani Kabourou, Dr Mashinji na Dr Slaa.

Ikumbukwe kuwa JJ Mnyika hakuridhishwa na utaratibu uliotumika kumsajili mzee Lowassa Chadema kwa gharama ya kumpoteza Dr Slaa na alishafanya maamuzi kuwa akimaliza kipindi hiki cha ubunge anahamia CCM.

Endapo lengo la Mnyika litatimia basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa siasa za Ufipa na viunga vyake.

Mungu iponye Chadema.

Maendeleo hayana vyama!
Keep on dreaming!!
 
Najua ujumbe umekugusa.
Unao ujumbe gani wewe wa kunigusa mimi kama sio kujiandikia tu lolote linalokujia kichwani.

Nilishakueleza tokea zamani, huo 'Umalunde' ndilo tatizo kubwa kwako; lakini naona sasa si hivyo tu, ni pamoja na akili mbovu, vyote vinachangia kwa pamoja uwe kama ulivyo.
 
Aliyepost kwamba John Mnyika atajiunga Ccm ni johnthebaptist sasa mimi kosa langu liko wapi? Kama atajiunga Ccm sio mbaya nashangaa unaanza kunikebehi.
 
Karibu CCM kuliponoga. Oktoba 2020 tunapita bila kupingwa
 
Back
Top Bottom