Kinyambiss
JF-Expert Member
- Dec 2, 2007
- 1,374
- 73
Shirika moja la habari la Marekani, KLHN limenukuu vyanzo vya habari vikisema
Habari kutoka Dettroite, Marekani zinasema mpango wa kumhusisha Kikwete katika tuhuma za ufisadi, ikiwemo kushiriki kwake katika mradi wa Dowans sasa unaendeshwa kwa kasi.
"Hakuna kitu kilichomuuma sana kiongozi huyu (jina tulalo) kama kuondolewa kwenye nafasi hiyo ya kifedha. Yeye na rafiki yake aliyeng'olewa serikalini (jina tunalo) walikuwa wakijigamba kuwa pekee, wenye uwezo wa kumshawishi na hata kumwamuru rais," kimeeleza chanzo cha habari.
Duh, eeeh bwana eeeh! wee mtundu kweeeeli kweli...embu fikiria msomaji wa hii habari awe m-TZ ambaye hana internet, ajawahi kusafiri au ni mtu ambaye siyo mtundu mtundu( mchunguzi) akutane na maneno kama
1."Shirika moja la habari la Marekani, KLHN",
2.Habari kutoka Dettroite, Marekani zinasema .....
kweli mwanahalisi anawauzia habari
namshukuru nyerere kwa kunisaidia kunipa shule ya msingi ya bure
__________________
Nilishawahi kusema hapa kwamba TZ inaongozwa na serikali mbili; ya mafisadi na ile ya JK! Sasa mambo yanajidhihirisha wazi.
Semilong:embu fikiria msomaji wa hii habari awe m-TZ ambaye hana internet, ajawahi kusafiri au ni mtu ambaye siyo mtundu mtundu( mchunguzi) akutane na maneno kama
1."Shirika moja la habari la Marekani, KLHN",
2.Habari kutoka Dettroite, Marekani zinasema .....
kweli mwanahalisi anawauzia habari
namshukuru nyerere kwa kunisaidia kunipa shule ya msingi ya bure
embu fikiria msomaji wa hii habari awe m-TZ ambaye hana internet, ajawahi kusafiri au ni mtu ambaye siyo mtundu mtundu( mchunguzi) akutane na maneno kama
1."Shirika moja la habari la Marekani, KLHN",
2.Habari kutoka Dettroite, Marekani zinasema .....
kweli mwanahalisi anawauzia habari
namshukuru nyerere kwa kunisaidia kunipa shule ya msingi ya bure
Na Mwandishi Wetu
Mwanahalisi~Maslahi ya Taifa Mbele
Taarifa za kuaminika kutoka kwa baadhi ya viongozi serikalini na watuhumiwa, zinasema tayari mipango imesukwa ya kumchomeka Kikwete katika sakata la mitambo ya kufua umeme wa dharula inayodaiwa kumilikiwa na kampuni ya Dowans Holding Tanzania Limited.
Aidha, watuhumiwa wa ufisadi wameapa kumhusisha Rais Kikwete katika sakata la ukwapuaji wa Sh. 40 bilioni, uliofanywa na kampuni ya Kagoda Agriculture Limited, kutoka Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) mwaka 2005.