Endapo Kivuko kingekarabatiwa Tanzania kwa zaidi ya bilioni 7.5, haya yangetokea...

Endapo Kivuko kingekarabatiwa Tanzania kwa zaidi ya bilioni 7.5, haya yangetokea...

Huwa najiuliza ndani ya hizi sekta za kiserikali huwa hakuna watu wanaoweza kufikiria kwa mapana kwa faida ya Tanzania Kama mtoa mada?
Ukiwa na mawazo positive hapo ofisini utajikuta upo pekee yako au mpo wachache na wengine wanawaona kama kidudu mtu kwenye madili yao so mtatengenezewa chuki isiyo ya lazima na kuharibiana kazi.

Hawa wadwanzi ni matokeo ya kuendekeza kupeana ajira kwa vimemo na kujuana. Na zaidi zaidi wengi ni unprofessional kwenye hizi kazi ndio maana kuzitendea haki inakuwa kazi sana. Wengi wapo hapo kwaajiri ya kupiga hela na kutengeneza michongo ya kupindisha mambo muhimu yaende hovyo ili wao sasa wapate nafasi ya kuweka mitego yao ya kupiga pesa.

Huu us*ng* ili uishe inatakiwa tubadili mfumo wa ajira kutoka huu wa sasa wa mikataba ya full time tuweke ule wa masaa ili kila mtu akadiriwe kazi kwa masaa aliyofanya ndipo apimiwe ufanisi wake.

Na pia sheria za kazi zibadilishwe ili uwajibishwaji wa watendaji wa hovyo ufanyike kirahisi. Na hili litawezekana tukibadili katiba ya inchi ili kuweza kutenganisha hii mihimili mitatu ya Serikali kuu, mahakama, na bunge,jeshi la polisi,etc isiingiliane kuanzia kupatikana kwa watumishi na watendaji wao hadi namna maamuzi yao yanafanyika.
 
Kenya kuna urahisi wa kurudishiwa chenchi,tofauti na ukarabati ungefanyika Hapa nchini.
Tunakosa viongozi wazalendo ambao hawatangulizi njaa zao.Wengi wao wabinafsi,wanajali matumbo yao
 
Huwa najiuliza ndani ya hizi sekta za kiserikali huwa hakuna watu wanaoweza kufikiria kwa mapana kwa faida ya Tanzania Kama mtoa mada?
Anayeidhinisha ndiye anatakiwa kujiuliza hayo maswali au kujitokeza adaharani kujibu dukuduku za wananchi, pengine anaweza kuwa na sababu za msingi lkn ukiona kimya jua hilo jambo haliingii akilini na alielezeki.
 
Back
Top Bottom