Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika nini hapa?So hata wafwasi wa dmond ni wafwasi Wa mfwasi wa freemason
Tupe Audio mkuuLeo akizungumza Kanisani, mchungaji Gwajima amesema amemsamehe Msanii Wa mziki nchini Diamond na kuongeza kuwa kama so kuomba msamaha alipanga kumuumbua juu ya namna alivyojiunga, wapi na tarehe aliyojiunga chama cha Freemason. pia ameeleza atatoa video zinazomuonesha pindi akijiunga na harakati zingine.
ikitokea hivi basi diamond nitakukimbia na sitakuwa mshabiki Wa mziki wako tena