Endapo nikaziona Video za Diamond akijiunga freemason, sitashabikia mziki wake tena

Endapo nikaziona Video za Diamond akijiunga freemason, sitashabikia mziki wake tena

Leo akizungumza Kanisani, mchungaji Gwajima amesema amemsamehe Msanii Wa mziki nchini Diamond na kuongeza kuwa kama so kuomba msamaha alipanga kumuumbua juu ya namna alivyojiunga, wapi na tarehe aliyojiunga chama cha Freemason. pia ameeleza atatoa video zinazomuonesha pindi akijiunga na harakati zingine.

ikitokea hivi basi diamond nitakukimbia na sitakuwa mshabiki Wa mziki wako tena
Tupe Audio mkuu
 
Watu na mafuvu yao [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

0abc971af7096599da2573c1d376a0ef.jpg
 
Ngwajima bwana japo diamond kwa huu wimbo kaharibu sana ila Ngwajima kawapiga watu sound kama anazo kweli aache maneno azirushe hewanj hizo video.
Hahaha Ngwajima bwana
 
Sasa hapo msamaha uko wapi, maana naona kama amesema ambayo tulikuwa hatuyajui..!
 
Back
Top Bottom