Kuhusu Etoo hakuna shida,Mzuka wanajamvi!
Hii kasumba ya ubaguzi kwenye mpira inaonekana waziwazi.
Hata George weah alivyopewa balloon d'or miaka ya nyuma kwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wazungu walilalamika ilikuwaje mmatumbi akapewa Tuzo hiyo kubwa kwenye mpira?
FIFA ilimnyima waziwazi Samuel Etoo hii tuzo. Etoo angekuwa mzungu angeipata mara tano mfulululizo.
Raheem Sterling aliyekuwa mshambuliaji wa Man City na sasa hivi Chelsea alistahili hii Tuzo pia lakini kamwe hatoipata kwasababu ya rangi yake.
View attachment 2680713
kwa huyu hata sisi weusi wenzie tunakukatalia,hana cha kumfanya apewe tuzo za dunia huyu....Mzuka wanajamvi!
Hii kasumba ya ubaguzi kwenye mpira inaonekana waziwazi.
Hata George weah alivyopewa balloon d'or miaka ya nyuma kwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wazungu walilalamika ilikuwaje mmatumbi akapewa Tuzo hiyo kubwa kwenye mpira?
FIFA ilimnyima waziwazi Samuel Etoo hii tuzo. Etoo angekuwa mzungu angeipata mara tano mfulululizo.
Raheem Sterling aliyekuwa mshambuliaji wa Man City na sasa hivi Chelsea alistahili hii Tuzo pia lakini kamwe hatoipata kwasababu ya rangi yake.
View attachment 2680713
Tuzo ya BALLON D OR hata UEFA moja hana kumamakeMzuka wanajamvi!
Hii kasumba ya ubaguzi kwenye mpira inaonekana waziwazi.
Hata George weah alivyopewa balloon d'or miaka ya nyuma kwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wazungu walilalamika ilikuwaje mmatumbi akapewa Tuzo hiyo kubwa kwenye mpira?
FIFA ilimnyima waziwazi Samuel Etoo hii tuzo. Etoo angekuwa mzungu angeipata mara tano mfulululizo.
Raheem Sterling aliyekuwa mshambuliaji wa Man City na sasa hivi Chelsea alistahili hii Tuzo pia lakini kamwe hatoipata kwasababu ya rangi yake.
View attachment 2680713
Kama ya etoo yana mashiko basi usahihi ni wake ni asilimia sabini, kitakwimu yupo sahihi.Kwa sukani siungi hoja.Kuhusu Etoo hakuna shida,
Lakini Sterling atwae tuzo kwa kipaji kipi alichowahi kuonesha!?
Tafuta mwaka ambao aliweka record kubwa na nzuri then tucompare na wengine kama aliwazidi.
Ukishindwa kufanya hivyo madai yako yanakuwa hayana mashiko
Nilitegemea utuambie mambo makubwa ya kipekee aliyoyafanya mpaka wazungu wakambania hiyo tuzo?Mzuka wanajamvi!
Hii kasumba ya ubaguzi kwenye mpira inaonekana waziwazi.
Hata George weah alivyopewa balloon d'or miaka ya nyuma kwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wazungu walilalamika ilikuwaje mmatumbi akapewa Tuzo hiyo kubwa kwenye mpira?
FIFA ilimnyima waziwazi Samuel Etoo hii tuzo. Etoo angekuwa mzungu angeipata mara tano mfulululizo.
Raheem Sterling aliyekuwa mshambuliaji wa Man City na sasa hivi Chelsea alistahili hii Tuzo pia lakini kamwe hatoipata kwasababu ya rangi yake.
View attachment 2680713
Mkuu huu utakua utani wa Karne. Sasa Raheem Sterling alifanya kipi cha ajabu Hadi uone kua alistahili kupewa tuzo ya Ballon d'Or ??Mzuka wanajamvi!
Hii kasumba ya ubaguzi kwenye mpira inaonekana waziwazi.
Hata George weah alivyopewa balloon d'or miaka ya nyuma kwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wazungu walilalamika ilikuwaje mmatumbi akapewa Tuzo hiyo kubwa kwenye mpira?
FIFA ilimnyima waziwazi Samuel Etoo hii tuzo. Etoo angekuwa mzungu angeipata mara tano mfulululizo.
Raheem Sterling aliyekuwa mshambuliaji wa Man City na sasa hivi Chelsea alistahili hii Tuzo pia lakini kamwe hatoipata kwasababu ya rangi yake.
View attachment 2680713
Mkuu malizia hiyo bia urudi kwakoMzuka wanajamvi!