Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye msimu upi hasa Sterling alifanya maajabu hadi astahiki kupewa balon d'or?Raheem Sterling aliyekuwa mshambuliaji wa Man City na sasa hivi Chelsea alistahili hii Tuzo pia lakini kamwe hatoipata kwasababu ya rangi yake.
Kwa kipi sasa au Kwa kubinua kishundu
Mmeanzaaaa, nilijua tyuuhKwa kipi sasa au Kwa kubinua kishundu
🤣🤣🤣🤣 Sterling..ungesema Mane ningekuona wa maana sanaMzuka wanajamvi!
Hii kasumba ya ubaguzi kwenye mpira inaonekana waziwazi.
Hata George weah alivyopewa balloon d'or miaka ya nyuma kwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wazungu walilalamika ilikuwaje mmatumbi akapewa Tuzo hiyo kubwa kwenye mpira?
FIFA ilimnyima waziwazi Samuel Etoo hii tuzo. Etoo angekuwa mzungu angeipata mara tano mfulululizo.
Raheem Sterling aliyekuwa mshambuliaji wa Man City na sasa hivi Chelsea alistahili hii Tuzo pia lakini kamwe hatoipata kwasababu ya rangi yake.
View attachment 2680713
Wangempa hata Yaya Toure wa Man City enzi zile......au nafasi yake uwanjani haikumbeba ?Kuhusu Etoo hakuna shida,
Lakini Sterling atwae tuzo kwa kipaji kipi alichowahi kuonesha!?
Tafuta mwaka ambao aliweka record kubwa na nzuri then tucompare na wengine kama aliwazidi.
Ukishindwa kufanya hivyo madai yako yanakuwa hayana mashiko
At least hata huyo, sie Sterling.Wangempa hata Yaya Toure wa Man City enzi zile......au nafasi yake uwanjani haikumbeba ?