Endapo Simba ingempata kiongozi kama Eng Hersi, Leo hii ingekuwa ni bingwa wa Africa

Umenena vizuri . Ila wala mihogo wa Hers watakupopoa kwa mawe.
 
Huyu anayedanganya mikataba ya wachezaji na kuhonga timu za ligi zinazopambana na Simba?
 
Huyu huyu msomali au mi sijakulewa...
 
Ni kosa kisheria mtu kujiita "Eng." Ikiwa hatambuliki na bodi ya wahandisi nchini
 
Kumbe eng kazi yake nyingine ni kununulia wachezaji viatu ??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo pale simba nani anakazi ya kununulia viatu wachezaji MO au mangungu ??
Kadri umri wako utakavyokuwa unaongezeka na kuwa mtu mzima, bila shaka utaelewa maana ya madaraka ya kuwa Rais wa taasisi.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…