Endapo Simba itapoteza Kigoma

Endapo Simba itapoteza Kigoma

Hiyo kufungwa tena inaweza kutokea, lakini kamwe Simba haiwezi "...kuvunjika vipande vipande..." kisa kufungwa Marw mbili, au tatu, au nne na Yanga, au na timu yoyote ile.

Ukitaka kujua hilo angalia reaction ya mashabiki, viongozi na wachezaji wa Simba baada ya game ya juzi, halafu fikiria kama ninyi ndo mngekua mmepoteza ile game, mngemshutumu kila mtu... sisi tunajua tumefungwa na maisha yanaendelea. Tunajua tutakuja tukiwa vizuri zaidi, na hata ikitokea hatujarudi vzr haituzuii kuendelea kuwa SIMBA.

Hivi karibuni hakuna game ilituumiza kama ile tulipigwa Nne na Kaizer Chiefs, lakini hatukuvunjika "vipande vipande" kama unavyosema.

Na hiyo ndo tofauti kati ya Simba na vilabu vyenu mavy mavy.
 
Mbona simba alishawai kufungwa nje ndan na yanga na bado iyo ndio ilikua funzo ad kufikia apa ,kuna namna moja ambayo simba hana yanga anayo kipind yanga akiwa vibaya bas simba anamfunga yanga ila sio mara kwa mara ila simba akiwa vibaya yanga anamfunga sana simba ,mfano miaka hii minne pamoja na mafanikio ya simba lkn amemfunga yanga si zaid ya mechi 3 ktk mechi karbu nane kwaiyo sizan kama itawastua sana mashabik wa simba kufungwa na yanga mara kwa mara
 
Hiyo kufungwa tena inaweza kutokea, lakini kamwe Simba haiwezi "...kuvunjika vipande vipande..." kisa kufungwa Marw mbili, au tatu, au nne na Yanga, au na timu yoyote ile.

Ukitaka kujua hilo angalia reaction ya mashabiki, viongozi na wachezaji wa Simba baada ya game ya juzi, halafu fikiria kama ninyi ndo mngekua mmepoteza ile game, mngemshutumu kila mtu... sisi tunajua tumefungwa na maisha yanaendelea. Tunajua tutakuja tukiwa vizuri zaidi, na hata ikitokea hatujarudi vzr haituzuii kuendelea kuwa SIMBA.

Hivi karibuni hakuna game ilituumiza kama ile tulipigwa Nne na Kaizer Chiefs, lakini hatukuvunjika "vipande vipande" kama unavyosema.

Na hiyo ndo tofauti kati ya Simba na vilabu vyenu mavy mavy.
hivi Yanga ndio ingenyimwa ile penalty na angefungwa ungesikia lawama kwa TFF sijui makandokando lawama kila sehem mpak Fifa wangejua Hakika mashabiki wa simba tupo na shule kichwan
 
Yaani ndoo tuchukue nne mfululizo tukose moja tu halafu tupasuke thubutu!!
Simba sio yanga wewe Simba ni watu wa mpira hasa.
 
Yanga mmekua kama Man Utd, unamkazia Man City na Liverpool afu unapasuliwa na crystal palace,

Simba tumeshatoka kwenye league ya kumfunga mtani, lengo letu ni vikombe vyote tunavyoshiriki,

Kigoma hatutopigwa, maana tuna shida na hilo kombe.
 
Back
Top Bottom