Kwa hiyo tanga kutawala hadi simba ipasuke?hill halipoNitafurahi sana kama simba itapasuka vipande na yanga kutawala msimu ujao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo tanga kutawala hadi simba ipasuke?hill halipoNitafurahi sana kama simba itapasuka vipande na yanga kutawala msimu ujao
Habari wakuu
Nawaza hapa endapo Simba itafungwa tena kigoma sijui hali itakuaje.
Naiona Yanga ikitawala msimu ujao baada ya Simba kupasuka vipande vipande baada ya matokeo ya Kigoma.
Endeleeni kuotaTrust me, Simba haiwezi himili kupoteza Kigoma! Narudia hawawezi. Timu itapasuka vipande 70! Na ndo itakuwa mwa nzo wa mwisho
Huu ni udhibitisho mwingine kuwa wenzetu bado wana fikra za kijima na kijuhaSimba hii sio ile unayofikiria mleta mada,Simba hii haiwezi kupasuka kwa kukosa f.a au kufungwa na Uto,hayo mambo bado yanatawala kwa Manyani f.c a.k.a Malalamiko.
Fact.Hiyo kufungwa tena inaweza kutokea, lakini kamwe Simba haiwezi "...kuvunjika vipande vipande..." kisa kufungwa Marw mbili, au tatu, au nne na Yanga, au na timu yoyote ile.
Ukitaka kujua hilo angalia reaction ya mashabiki, viongozi na wachezaji wa Simba baada ya game ya juzi, halafu fikiria kama ninyi ndo mngekua mmepoteza ile game, mngemshutumu kila mtu... sisi tunajua tumefungwa na maisha yanaendelea. Tunajua tutakuja tukiwa vizuri zaidi, na hata ikitokea hatujarudi vzr haituzuii kuendelea kuwa SIMBA.
Hivi karibuni hakuna game ilituumiza kama ile tulipigwa Nne na Kaizer Chiefs, lakini hatukuvunjika "vipande vipande" kama unavyosema.
Na hiyo ndo tofauti kati ya Simba na vilabu vyenu mavy mavy.
Viumbe kama hawa watapata wapi fikra sahihi? Luc kuwafananisha Yanga na nyani alikuwa sahihi kabisaHuu ni udhibitisho mwingine kuwa wenzetu bado wana fikra za kijima na kijuha
Mzee Mpili katika ubora wakeMchawi wenu mzee mpili ndio amewaambia mana nasikia ndio mganga wenu mkuu.