Endapo Simba itapoteza Kigoma

Endapo Simba itapoteza Kigoma

Hiyo kufungwa tena inaweza kutokea, lakini kamwe Simba haiwezi "...kuvunjika vipande vipande..." kisa kufungwa Marw mbili, au tatu, au nne na Yanga, au na timu yoyote ile.

Ukitaka kujua hilo angalia reaction ya mashabiki, viongozi na wachezaji wa Simba baada ya game ya juzi, halafu fikiria kama ninyi ndo mngekua mmepoteza ile game, mngemshutumu kila mtu... sisi tunajua tumefungwa na maisha yanaendelea. Tunajua tutakuja tukiwa vizuri zaidi, na hata ikitokea hatujarudi vzr haituzuii kuendelea kuwa SIMBA.

Hivi karibuni hakuna game ilituumiza kama ile tulipigwa Nne na Kaizer Chiefs, lakini hatukuvunjika "vipande vipande" kama unavyosema.

Na hiyo ndo tofauti kati ya Simba na vilabu vyenu mavy mavy.
Mashabiki wa Simba waliwatukana sana wachezaji wa Simba.
Basi lao vioo walifunga. Video zipo.
 
Hiyo kufungwa tena inaweza kutokea, lakini kamwe Simba haiwezi "...kuvunjika vipande vipande..." kisa kufungwa Marw mbili, au tatu, au nne na Yanga, au na timu yoyote ile.

Ukitaka kujua hilo angalia reaction ya mashabiki, viongozi na wachezaji wa Simba baada ya game ya juzi, halafu fikiria kama ninyi ndo mngekua mmepoteza ile game, mngemshutumu kila mtu... sisi tunajua tumefungwa na maisha yanaendelea. Tunajua tutakuja tukiwa vizuri zaidi, na hata ikitokea hatujarudi vzr haituzuii kuendelea kuwa SIMBA.

Hivi karibuni hakuna game ilituumiza kama ile tulipigwa Nne na Kaizer Chiefs, lakini hatukuvunjika "vipande vipande" kama unavyosema.

Na hiyo ndo tofauti kati ya Simba na vilabu vyenu mavy mavy.
Simba itabaki kuwa Simba..Hii.mechi ya juzi walijua hata kwnenye magroup ya watsup tutapotea ila ndo kwanza tuliwaambia waagize supu ya Pweza tutalipa
 
Simba kumfunga mtani sio kipaumbele chetu tena, sasa hivi tunaitafuta nusu fainali ya CAF Champions League, pigeni kelele mpendevyo hatuna habari.
Ni Sawa Na Mondi awe anapambana kushindana views Na zuchu wakati yeye anafocus Na bet
 
Hiyo kufungwa tena inaweza kutokea, lakini kamwe Simba haiwezi "...kuvunjika vipande vipande..." kisa kufungwa Marw mbili, au tatu, au nne na Yanga, au na timu yoyote ile.

Ukitaka kujua hilo angalia reaction ya mashabiki, viongozi na wachezaji wa Simba baada ya game ya juzi, halafu fikiria kama ninyi ndo mngekua mmepoteza ile game, mngemshutumu kila mtu... sisi tunajua tumefungwa na maisha yanaendelea. Tunajua tutakuja tukiwa vizuri zaidi, na hata ikitokea hatujarudi vzr haituzuii kuendelea kuwa SIMBA.

Hivi karibuni hakuna game ilituumiza kama ile tulipigwa Nne na Kaizer Chiefs, lakini hatukuvunjika "vipande vipande" kama unavyosema.

Na hiyo ndo tofauti kati ya Simba na vilabu vyenu mavy mavy.
umesahau simba alifungwa na Mtibwa MO akatishia kujitoa mpaka akapigiwa magoti? MO akijitoa na timu imekufa3t
 
Hiyo kufungwa tena inaweza kutokea, lakini kamwe Simba haiwezi "...kuvunjika vipande vipande..." kisa kufungwa Marw mbili, au tatu, au nne na Yanga, au na timu yoyote ile.

Ukitaka kujua hilo angalia reaction ya mashabiki, viongozi na wachezaji wa Simba baada ya game ya juzi, halafu fikiria kama ninyi ndo mngekua mmepoteza ile game, mngemshutumu kila mtu... sisi tunajua tumefungwa na maisha yanaendelea. Tunajua tutakuja tukiwa vizuri zaidi, na hata ikitokea hatujarudi vzr haituzuii kuendelea kuwa SIMBA.

Hivi karibuni hakuna game ilituumiza kama ile tulipigwa Nne na Kaizer Chiefs, lakini hatukuvunjika "vipande vipande" kama unavyosema.

Na hiyo ndo tofauti kati ya Simba na vilabu vyenu mavy mavy.
Kama manara ametangaza kuacha kazi endapo mtapoteza hiyo ni dalili ya fukuto kubwa endapo ikitokea.
 
Simba imeonyesha ukomavu wa hali ya juu sana.

Imekubali matoke na maisha yanaendelea.

Always A lion beibeee..
 
Kama manara ametangaza kuacha kazi endapo mtapoteza hiyo ni dalili ya fukuto kubwa endapo ikitokea.
Usimuamini sana yule, ni maneno ya kimpira tu hayo.
Baada ya Liverpool kufungwa 3-0 na Barcelona alisema Liver ikipindua meza atajiunga Yanga. Liver walivyo fanikiwa kupindua meza alivyo fuatwa atekeleze ahadi yake akawa mbogo.
 
Tusubiri matajiri wa Yanga wamwage mabilioni kununua hisa za Yanga. Wa chini kabisa atamwaga zaidi ya bilioni 20.
 
Waache tabia ya kuingia na matokeo
 
Matokeo ya Kigoma itakuwa mlango wa kutokea wa Moo. Jiandaeni kisaikolojia huzuni kubwa inakuja.
 
Nyie kima wa pori la Utopolo kusanyeni waganga na wachawi wote sisi tunakusanya makombe tu.
FB_IMG_1616853117648.jpg
 
Simba hii sio ile unayofikiria mleta mada,Simba hii haiwezi kupasuka kwa kukosa f.a au kufungwa na Uto,hayo mambo bado yanatawala kwa Manyani f.c a.k.a Malalamiko.
Sema sababu ya mwamed
 
Hiyo kufungwa tena inaweza kutokea, lakini kamwe Simba haiwezi "...kuvunjika vipande vipande..." kisa kufungwa Marw mbili, au tatu, au nne na Yanga, au na timu yoyote ile.

Ukitaka kujua hilo angalia reaction ya mashabiki, viongozi na wachezaji wa Simba baada ya game ya juzi, halafu fikiria kama ninyi ndo mngekua mmepoteza ile game, mngemshutumu kila mtu... sisi tunajua tumefungwa na maisha yanaendelea. Tunajua tutakuja tukiwa vizuri zaidi, na hata ikitokea hatujarudi vzr haituzuii kuendelea kuwa SIMBA.

Hivi karibuni hakuna game ilituumiza kama ile tulipigwa Nne na Kaizer Chiefs, lakini hatukuvunjika "vipande vipande" kama unavyosema.

Na hiyo ndo tofauti kati ya Simba na vilabu vyenu mavy mavy.
Acha hizo wewe,mara ngapi mmefukuza makocha mkifungwa na yanga
 
Yanga wanashinda kwa ushindi wa matunguli tu ila bare bare wanajua kabisa bila mzee Mpili wao ni wepesi sana
 
Back
Top Bottom