Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Umeandika kinyonge sana hadi nakuonea huruma[emoji2][emoji30]Ngoja tuone mkuu
Kivovote ilimradi wamepasukaYenu macho & wao matunguri
Mwamedi lazima atatangaza kujiuzulu,kwanza anaiongoza vunja bei fc kihasara.Habari wakuu
Nawaza hapa endapo Simba itafungwa tena kigoma sijui hali itakuaje.
Naiona Yanga ikitawala msimu ujao baada ya Simba kupasuka vipande vipande baada ya matokeo ya Kigoma.
Mbumbumbu fc😊Simba hii sio ile unayofikiria mleta mada,Simba hii haiwezi kupasuka kwa kukosa f.a au kufungwa na Uto,hayo mambo bado yanatawala kwa Manyani f.c a.k.a Malalamiko.
Taratibu ndugu mikia wasije wakakusikia. Mara watamsajiliKwani Zawadi Mauya anasemaje?
hivi Yanga ndio ingenyimwa ile penalty na angefungwa ungesikia lawama kwa TFF sijui makandokando lawama kila sehem mpak Fifa wangejua Hakika mashabiki wa simba tupo na shule kichwanHiyo kufungwa tena inaweza kutokea, lakini kamwe Simba haiwezi "...kuvunjika vipande vipande..." kisa kufungwa Marw mbili, au tatu, au nne na Yanga, au na timu yoyote ile.
Ukitaka kujua hilo angalia reaction ya mashabiki, viongozi na wachezaji wa Simba baada ya game ya juzi, halafu fikiria kama ninyi ndo mngekua mmepoteza ile game, mngemshutumu kila mtu... sisi tunajua tumefungwa na maisha yanaendelea. Tunajua tutakuja tukiwa vizuri zaidi, na hata ikitokea hatujarudi vzr haituzuii kuendelea kuwa SIMBA.
Hivi karibuni hakuna game ilituumiza kama ile tulipigwa Nne na Kaizer Chiefs, lakini hatukuvunjika "vipande vipande" kama unavyosema.
Na hiyo ndo tofauti kati ya Simba na vilabu vyenu mavy mavy.