Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake,
Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini pia kugombea urasi 2030.
Hatua hii inamaanisha kwamba nafasi ya uenyekiti wa Chadema taifa ndiyo itakayoamua mustakabali wa siasa za Tundu Lisu, kubaki kua siasa za jimbo au kua za siasa za kiharakati kitaifa, kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa Oct 2025.
Hata hivyo,
diasporas na mabwenyenye ya magharibi yanayombackup huyu muungwana yanabaki kuwa remonte control ya kudictact siasa za Tundu Lisu humu nchini, kwasababu pekeyake bado hana uwezo wa kujitegemea kwa hali na mali, bila kubustiwa na wadau wa siasa wa ndani na nje ya nchi, hususani kiuchumi. Njia ya kuomba omba kuchangiwa imeonekana haina uhakika sana ingawa bado ana tamaa ya kufanya hivyo kwasababu ndio hulka yake.
Na hiyo ndiyo weakness yake kubwa zaidi inayomfanya kubabaika dhidi ya maamuzi yake mwenyewe, na hata kufikia mahali kulamba matapishi yake mwenyewe, mathalani kwenye suala la kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, alishawahi kutamka hadharini kwamba hakuwahi kua na ndoto hizo, lakini pia kamwe hatathubutu kugombea uenyekiti akipambana na mwenyekiti wa sasa wa Chadema.
Infact,
Tundu Lisu anafanya siasa za kushinikizwa na kuelekezwa na wanaomfadhili, na kwasababu ya umasikini wake na ugumu wa maisha, kwasababu nae hana namna ya kukataa suala lolote linalo husu pesa.
Kiufupi,
kutumika au kutumiwa kisiasa ni jambo baya sana, ni muhimu mno kujifunza kujitegemea kwa hali na mali kisiasa, kijamii na kiuchumi, ili kuepuka fedheha kama anazopitia muungwana Tundu Lisu.
kila la kheri wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa kwa kujipanga kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.🐒
Mungu Ibariki Tanzania