Endapo Yanga itaifunga Azam kesho ndani ya dakika 90 nitaamini kuwa Yanga wanashinda kwa uwezo wao na yanayosemwa ni majungu tu

Yanga haiko vizuri ila wanabebwa na waamuzi ile mechi ya juzi Simba sc ingeshinda..kwasababu lile goli lao ni la offside tu...Simba wamenyiwa penati ys wazi yanga akapewa goli la Offside.View attachment 3066357
Β₯
Sikuwahi kufikiri kuwa wewe jamaa ni MPUMBAVU kiasi hiki.Umemkata Kapombe kwenye picha halafu huoni aibu kupost UPUMBAVU kama huu hapa jukwaani?
 
UBAYA UBWELA SANDAAAA
 
Bila kuweka mke rehani hatuwezi kukuamini maneno yako
 
Siku zinavyozidi kwenda makolo akiri zinatokomea kusikojulikana!!

Imagine mtu kama wewe umefungwa juzi tu kumbe hujaridhika? Na kabisa una familia inakutegemea?

Kama mmefikia kuweka rehani wake zenu ipo siku msiokuwa na wake mtaweka rehani marinda yenu
 
Wewe Kolo FC utakuja na nyimbo nyingine baada ya Azam kufungwa.
 
Na wewe kwa akili yako unaamini kuwa Yanga huwa wanashinda kwa ndumba?

Hayo ni mawazo mgando tena ni mgando mno mno.
Yanga ina uwezo mkubwa kiuchezaji na ina wachezaji wazuri wanaoweza kuamua matokeo muda wowote ule ndani ya dakika 90.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…