Endapo Yanga itaifunga Azam kesho ndani ya dakika 90 nitaamini kuwa Yanga wanashinda kwa uwezo wao na yanayosemwa ni majungu tu

Kesho ni fainali baina ya Yanga vs Azam, mchezo utakuwa mgumu lakini mwepesi sana kwa Azam, kinachonipa matumaini ni kuwa wachezaji watano wa Yanga wanaowategemea yaani Aucho, Aziz Ki, Max Nzengeli, Pacome na Mudathiri au Duke ni wachezaji wa kawaida sana mbele ya viungo wa Azam, lakini kubwa zaidi nalojivunia mimi ni kuwa kesho ndumba pale uwanjani zimegota.

Kesho saa 10 Simba watacheza na Coastal kutafuta mshindi wa tatu, sasa watakuwa wameshauharibu uwanja na hivyo Utopolo hawatakuwa tena na maajabu na uwanja huo.Kazi itakuwa ngumu sana kesho kwao.

Mtake msitake uwanja kesho uko free, mipango yetu ile haipo tena kesho, na endapo basi Yanga ataifunga Azam ndani ya dakika 90 kesho kwa Mkapa ntaamini na sitokuwa na sababu tena ya kubishana na watu kuhusu uwezo wao, nitakuwa mstari wa mbele kupinga maneno yote kuwa Yanga haina uwezo.Azam hii inafungwaje na timu inayotegemea Aucho, Max, Pacome na Aziz Ki tu.

Narudia kama Yanga itaifunga Azam ndani ya dakika 90 nitakuwa mtu wa kwanza kutoka unyamani kusema kuwa Yanga wako vizuri yanayosemwa juu yao ni uongo, uongo, uongo.

Mnawafunga simba kimipango halafu mnasema timu mnayo, ujinga kabisa
Wee jamaa una ngozi ngumu kama nyama ya tako.

Ila Bado utaandika sana
 
Toka mapema kusema hivo maana Azam wanaona moto huku
 
1719684334547.jpg
 
We are waiting bitch!
 
Toa mke wako uoneeer
 
A few moments later nenda kajambe huko kiko wapi
 
Uko wapi we Hadija kopa
 
Umeamini???
This is Yanga.
 
Back
Top Bottom